Mshamba wa Manyara na gari ya VodaCom

SHAY2

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Jamaa moja huko Manyara aliona gari la Kampuni ya VodaCom akajificha eti sababu alikopa nipige tafu.
 
Bwana mdogo SHIEKA, Sali sala yako ya mwisho nakutafutana tochi mchana na panga langu jipya!!!!!!!!!!:frusty:
Bado wazidi kuonesha ushamba wako. Yaani mpaka leo untumia panga kutia watu adabu! Hiyo ni analogue Gwangambo! wala siogopi na sitasali. Ninachoogopa ni digitali bwana - tindikali. Ungetaja hiyo ningesali kiyahudi ili sala ifike kwa Yesu haraka.
 
Last edited by a moderator:
Bado wazidi kuonesha ushamba wako. Yaani mpaka leo untumia panga kutia watu adabu! Hiyo ni analogue Gwangambo! wala siogopi na sitasali. Ninachoogopa ni digitali bwana - tindikali. Ungetaja hiyo ningesali kiyahudi ili sala ifike kwa Yesu haraka.
Haya sasa ngoja nikuoteshe nywele kwenye huo upara wako ki-digitali :mod:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…