Mshaharaaaaaaaaaa

Niliiona hii nikaona itakuwa nzuri ku-share
 
Duh, yaani kimshahara kimeshadumaa, cjui kama kitaongezeka urefu...))
 
Thanks. umeimaliza ijumaa kwangu kwa kicheko. Huyo salary kila anavyokuwa, hawezi ku-compete na wenzake ndo maana kila siku anabakia mdogo.
 
hahahahahaaa!!!
machizi wanakaangalia ka salary wanakacheka!!
 
Lol!kanahitaji machicha ya ufisadi hako ili katoe maotea.
 
Mshaara tung'oe mizizi ya rushwa kanaweza kakachipua.
 
hahahahah haka jamaa lazima katakuwa ka eskimo kakule kongo dah ona vimacho vyake kama fisadi naniluu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…