Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa



I do hate generalization saaaanaaa......
1. huko kwengine GDP na Income per capita ikoje?????
2. Inflation rates???
3. Wewe ndo mgeni na topic ya contextualization kumbe????

Mkimaliza kubishana mjiulize........who is our common enemy?????
 
Mkuu, Mshahara wa sh 955,000/- ikishakatwa PPF na PAYE inabaki Sh. 720,000/- na sio Laki tano na nusu.
Kimsingi sikubaliani na Mbunge kulipwa 10,000,000/- kwa wiki4 alafu daktari analipwa asilimia 10% ya mshahara wa mbunge.

kwahiyo unataka kuwe na ulinganifu wa mshahara kwa kila kada ya ajira nchin, sababu wabunge wanalipwa mil10 basi na walimu nao walipwe mil10, mainjinia nao walipwe mil10, wahasibu nao walipwe mil10!! usifikiri kwa masaburi!!!
 
Unajua kinacho wakera madaktari ni wana siasa kulipana mishahara ya kufuru halafu wao kupewa mshahara ambao ni kama matusi kwao ukilinganisha na kazi wanao ifanya!!!
 
Unajua kinacho wakera madaktari ni wana siasa kulipana mishahara ya kufuru halafu wao kupewa mshahara ambao ni kama matusi kwao ukilinganisha na kazi wanao ifanya!!!
Tanzania Kila mtu anaweza kuingia kwenye siasa nafasi zipo wazi kwa kada zote Lakini si kila mtu anaweza kuwa Daktari .Hivyo kama wanaona wanasiasa wanafaidi basi na wao wafuate taratibu waingie kwenye siasa na siyo kila siku kuleta sokomoko na kushindwa kutimiza wajibu wa kazi yao kama waajiriwa na kusababisha mtafaruku kwa wanaohitaji huduma.
 

Hapo kwenye red!!!We unadhani kwanini si kila mtu anaweza kuwa daktari?Kozi yao ni ngumu na umuhimu wao kwa jamii ni mkubwa,hivyo malipo ni lazima yawe ya haki!!!
 

well said mkuu, tatizo letu wengi ni kufikiri kwa mkumbo.
 

Ndo kama hivi sasa may be na wao wameamua kufanya siasa ili iwalipe...............tunasubiri mrejesho bila kelele wala kuhisisha sympathy yawananchi.!!!!!!!! Ila kwa ufikiriaji kama wako ni dhahma kwa taifa hili........eti kila mtu afanye kazi inayolipa huoni kama unejenga vichaka vya ubadhilifu na kukataa dhana ya division of labour????? Unajiita.....kipimo cha utu ni kazi........kipimo kiwe respect kwa kazi na sio bias kwa baadhi ya kada kama ilivyo sasa

Then hayo malalamiko ya mazingira ya kazi hayakwepeki as hali ni mbaya saaaanaaa.......so serikali ingekaza msuli huko ili tujue sasa kama hoja yao ni pesa ingebaki bayana ila kwa sasa ni ngumu kuweka bayana ni nini hasa wanagomea.......siungi mkono kugoma ila Drs wana capitalize kwenye weakness ambayo ni obvious serikali inawajibika dhahir shahir kurekebisha.....hata kama itasemwa hii ni background echo still inasikika na ni sehemu ya wimbo tayari


Hide and seek.......hide and seek.....mpaka fajar na watu wanaendelea kukutana na mauti....mateso....na vilema
 

Mungu tangu apoteze ile fomula yake ya kufanya mikate inyeshe kama mvua ili wana wa islael wajitafunie, simwamini tena!
 

Vipi kuhusu kulazwa kitanda kimoja wagonjwa 2 ama 3 kila mtu anamaradhi yake je nayo hiyo nisawa???
Hapo tutakuwa tuna tibu nini ama kila mgonjwa atibiwe madahari yake achanganye na ya mwenzie ile aweze kupona??
Aaah! hapo ndipo CCM inaponifurahisha ila wao wakiugua nje kutibiwa walala hoi kwenye kajamba nani nani ta MIAKA 50 ya UHURU!!...hii ni ONLY IN BONGO !!

 
.......... Punguzeni Tabia ya kujiombea migao peke yenu ....... Haijatulia Tabia hiyo !

Hata sie wakulima na wafugaji ni wananchi kama nyie.


Labda mmoja wenu,angeropoka ili na sie tulio vijijini,tunufaike na posho AU HATA MSAADA yenye uzani wa angalau 50,000.00 TSHS PER HEAD !!!!!!!
 
Lets face the reality,madai ya ma-dr ni haya
1.Salary 3.5M
2.On call allowance(10% salary)
3.Risk allowance 30%
4.Housing allowance 30%
5.Posho ya mazingira magumu ya kazi(basically location) 40%
6.Transport allowance 10%
7.Green card health insurance
8.Ma-dr waliofukuzwa warudshwe kazini
9.Post morten allowance should be raised
10.Viongozi kulazimisha rufaa nje
11.Hatua za kinidhamu juu ya watendaji wakuu wa min.of health zichukuliwe
12.Huduma za afya ziboreshwe

Ok judge for urself madai mangapi ni maslahi binafsi na mangapi kwa wananchi.

Katika madai yote 12,govt na MAT walifikia muafaka mambo 7
Tafuta hotuba ya rais soma walikubaliana nn
MAT waje public watuambie ni kweli asemayo Rais?
Ndugu mwananchi tafakari majibu ya govt na MAT then utajua nn kiini cha mgomo
Hii habari ya kutoa comments ki-CCM-CDM haina maslahi kwa yoyote
 
Nipe mtazamo wako hapa chini
 
Wamelupiwa na serikali hizo shule .matatizo ya elimu ya bure
Natalia KUWA SERIOUS WALE KULE KAIRUKI, IMTU WANASOMESHWA BURE UMESOMA WEWE KWELI MADACTARI WOTE WANASOMESHWA NA SERIKALI?

NAKUULIZA Natalia,Huwa natoa mifano ya kweli nauhalisia, nina kaka yangu anasoma KAIRUKI udactari analipa ada 5,000,000 per year na anajilipia mwenyewe ada *5yrs =25,000,000/tsh toa usafiri, toa emergence, toa malazi, kweli huyu mtu atamaliza umlipe 500,000 akubaliane na wewe?

Laki tano ni hela za makeshia wenye diploma bana. Twende mbele turudi nyuma je hao madactari wakirudishwa kwa nguvu watawatibu watu kwa moyo na kwa upendo? Chukua zako changanya na zangu tujijibu swali
 
wote tuliosoma kwa pesa ya walipa kodi now tunakatwa katika mishahara kila mwezi na katika list ya bodi
wacheni maneno yenu
 
Natalia KUWA SERIOUS WALE KULE KAIRUKI, IMTU WANASOMESHWA BURE UMESOMA WEWE KWELI MADACTARI WOTE WANASOMESHWA NA SERIKALI? .........Chukua zako changanya na zangu tujijibu swali
Just go and work where they gonna pay you what u want....
5M kitu gani kwenye elimu? Some people of paid £7000 for tuition fee only and they r working for 1-2M private sector!!!!
 
kwani udakitari ni siasa, mpaka ulinganishe mishahara yao na wabunge? kila mtu akijinganisha na mbunge si patachimbika hapa, na kwa nini wanadhani wenyewe ni wamuhimu sana, zaidi ya waalimu, wanasheria, wahasibu masecretary na wafanya usafi? i

waache njaa zao, wangesomea kozi za kujiajili, kama hawapendi kupangiwa mishahara
 
Mbona unataka kuminyana na muajiri wako? Tatizo lipo wapi wewe tafuta sehemu wanaolipa mshahara mzuri kafanye kazi uko usiladhimishe ulipwe unavyotaka mkuu serikali aina huo uwezo...au nenda TMJ, Agha Khan, Regency, Hindu, kachukuwe mamilioni.

Nani anamlazimisha mwingine hapa, kama hutaki kulipa huo mshahara nani kakuambia upeleke vijisenti vyako kwenye akaunti zetu?

Mwaka huu kitaeleweka tu!!!
 
.
Hata kama serkali haitaki kulipa mshahara huo ndo mmuue dr ulimboka? Kwanza ile barua ya kaimu mwenyeketi chama cha madaktari haijasainiwa . Acheni kuongoza kwa usanii???
 
mkuu unastatistics ya mwaka ganiwabunge wanalipwa 10,000,000/tsh bado usafiri,malazi,perdm,petrol wanajaziwana magari ya bure wanapewa,posho 200.000/ kwani si hela zetu za kodi na sindio wanasinzia huko bungeni ?wapewe hawa wanaotutibu hata kama vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…