Housing allowance wanapewa. Mshahara nadhani ni kwenye 500kNaomba kujua mshahara wa teller crdb bank na benefit anazopata nje ya mshahara wake
Achana na mambo ya mshahara, kama hauna job wenenda ukapige kazi mambi mengine yatakuja ukiwa kazini.Naomba kujua mshahara wa teller crdb bank na benefit anazopata nje ya mshahara wake
Sawa kaka lakini nilitaka kujua kwanzaAchana na mambo ya mshahara, kama hauna job wenenda ukapige kazi mambi mengine yatakuja ukiwa kazini.
Lakini kama unayo job, basi angalia mkataba unasemaje na kisha utafanya maamuzi ya kuukubali ama ku ukataa.
Sawa sawa kiongoziHousing allowance wanapewa. Mshahara nadhani ni kwenye 500k
Hio ni Kwa NBC
Housing allowance wanapewa. Mshahara nadhani ni kwenye 500k
Hio ni Kwa NBC

Ukiwaona na viburi vyao utadhani bank ni yaoMbona mdogo hivyo hawa hawa mateller wanaovimba bank au kuna wengine![]()



Si ndio wanaringia laki 5 zao!Mbona mdogo hivyo hawa hawa mateller wanaovimba bank au kuna wengine![]()
Ili iweje?Naomba kujua mshahara wa Teller CRDB bank na benefit anazopata nje ya mshahara wake.
Mbona unaongea bila data the best local bank crdb ndo analipa vizuri zaidi then NmbSi ndio wanaringia laki 5 zao!
Unaelewa hata uliyemquote?Mbona unaongea bila data the best local bank crdb ndo analipa vizuri zaidi then Nmb
Nmb loan officer hawezi ajiri kutoka nje,hiyo ni internal advert Tu wanaitwa Relationship officer RO ni nafasi ya promotion internalNmb loan officer sh ngap bonus anahesabiwaje
Ume support kwamba wanapewa laki5Unaelewa hata uliyemquote?
Ulitaka nikusupport wewe?Ume support kwamba wanapewa laki5
Okay in this world you have to agree and disagree.Good!Ulitaka nikusupport wewe?