hilker mhema
Member
- Mar 20, 2017
- 81
- 23
Wakuu habari,
Samahani kwa wanaolifahamu hili jambo la mshahara wa broadcast technician ni kiasi gani?
Na je, broadcast technician anakuwa anafanya mambo yapi haswaa?