kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
- Thread starter
-
- #21
Mzee imeisha hiyo tupeane ronja tu vipi mzigo umeingia na nyogezo ayo mengine kausheni.Acha ukilaza endelea kujifunza dogo, ukitukana hovyo unaonekana wewe ndio kilaza. Unafikiri system ya Payroll ina sort out kwenye malipo kwamba hawa wa serikali kuu na walio bank ya CRDB ndio walipwe kwanza?
We jamaa sijui unafanya kazi sehemu gani ambayo ni vilaza kiasi hicho.Acha ukilaza endelea kujifunza dogo, ukitukana hovyo unaonekana wewe ndio kilaza. Unafikiri system ya Payroll ina sort out kwenye malipo kwamba hawa wa serikali kuu na walio bank ya CRDB ndio walipwe kwanza?
Habari wakurugwa
kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya
kunani huko jikoni au mpk wiki ijayo?
Mzee ngoja nikupe somo yawezekana hujui..stay tuned hapa kama dk kadhaa, Mshahara sio posho mkuuWe jamaa sijui unafanya kazi sehemu gani ambayo ni vilaza kiasi hicho.
Iko hivi, mshahara unaingia siku moja lakini kuingia kwenye akaunti zetu muda unatofautiana kutegemeana na benki. Hizo ni process za kibenki ndio zinatofautiana.
Kama hujui hilo basi wewe ni kilaza zaidi
Vumilia kidogo tupo uchumi wa Kati tunaweka sytem sawaHabari wakurugwa
kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya
kunani huko jikoni au mpk wiki ijayo?
Acha ukilaza endelea kujifunza dogo, ukitukana hovyo unaonekana wewe ndio kilaza. Unafikiri system ya Payroll ina sort out kwenye malipo kwamba hawa wa serikali kuu na walio bank ya CRDB ndio walipwe kwanza?
Huna jipya mzee.Mzee ngoja nikupe somo yawezekana hujui..stay tuned hapa kama dk kadhaa, Mshahara sio posho mkuu
Hivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
mwanamke hebu tulia kwanza. kaa pembeni nisije kukupa makonde ya uso😎😎Wee nawe mbishiiii.....umejibiwa kuna wengine wameshapata, wee unabisha. Sasa ulitaka akwambie bado? au huamini?
Hiyo ni system ya kibenk inavyofanya kazi lakini sio hazina na nikuambie tu ikiwa hivo NMB ndio huwa wanaanza mapema kupataHuna jipya mzee.
Kama kuna mtu mko nae hapo kazini alaf mko benki tofauti angalia kama mtapata mshahara kwa muda mmoja.
Crdb inaweza kupata asubuh, nmb wakapata mchana au jioni na wakati mwingine usiku, wale wa Nbc ndio kabisaaa hata kesho yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona umeanza kukubaliana namimi[emoji23][emoji23] angalia post # 23Hiyo ni system ya kibenk inavyofanya kazi lakini sio hazina na nikuambie tu ikiwa hivo NMB ndio huwa wanaanza mapema kupata
mwanamke hebu tulia kwanza. kaa pembeni nisije kukupa makonde ya uso😎😎
muandalie mumeo chai
haha
Hivi vicomment siyo kabisa tuna mishe mishe nyingi lkn mshahara ni aki yetuHivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
Mbona tunakua watumwa sasa kwa kile tulichokifanyia kazi, yani kujua hela imeingia ua lahasha hii dhana ya mfu itakufa lini, kwanini tarehe 23 ikifika watu wote wapate pesa zao, unakuta mwezi huu tare23, mwezi ujao 24,mwezi mwingine tareh 25mshahara now unatoka kwa pamoja mkuu hakuna cha serikali kuu, mashirika ,taasisi wala ualimu wala uko benki gani wote mzigo unaingia kwa pamoja
Acha upumbavu.Hivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
Haituhusu wale ambao hatukutia nia, watoe pesa zetuTuvute subira… kazi ya kuwakata Watia nia imeisha… kaeni mkao wa kula
Dona kantri mkuu hahahaMbona tunakua watumwa sasa kwa kile tulichokifanyia kazi, yani kujua hela imeingia ua lahasha hii dhana ya mfu itakufa lini, kwanini tarehe 23 ikifika watu wote wapate pesa zao, unakuta mwezi huu tare23, mwezi ujao 24,mwezi mwingine tareh 25
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app