kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
Dawa ya deni ni kulipa tushafanya kazi Sisi tunasubiri haki yetu yaani budget ya msiba Iingilie mishahara yetu??Mkuu COVID-19 ipo jikinge kwanza achana na mshahara utaingia leo jioni japo inategemea na hali ya kibubu si unajua kuna Msiba mkubwa unaohitaji budget kuuhandle?
Serikali kuu mzigo saa tatu asubuh watu wamepata ila CRDB tu
mshahara now unatoka kwa pamoja mkuu hakuna cha serikali kuu, mashirika ,taasisi wala ualimu wala uko benki gani wote mzigo unaingia kwa pamojaSerikali kuu mzigo saa tatu asubuh watu wamepata ila CRDB tu
Je kuna mabadiriko yoyote?Serikali kuu mzigo saa tatu asubuh watu wamepata ila CRDB tu
sijasema hujapata elewa point yangu...ukiona umepata wewe jua wote walio kwenye payroll mzigo umeingia.Ndio tatizo la kujifanya unajua wakati huwezi kujua kila kitu.
Ulitaka nisemeje sasa wakati mimi nimepata mshahara saa tatu asubuhi ya leoView attachment 1515511
Mabadiliko yapo, wameshusha PAYE kwahiyo kiasi flani kilichokuwa kikikatwa kwenye PAYE kimeongezwa kwenye Net pay, kiwango kinategemeana na kiasi chako cha mshahara kama ambavyo PAYE hazifanani
Endelea kukariri kwa kufuata maneno, kuna watu now wanaumalizia na kuna watu bado kwa sasa wanausubirimshahara now unatoka kwa pamoja mkuu hakuna cha serikali kuu, mashirika ,taasisi wala ualimu wala uko benki gani wote mzigo unaingia kwa pamoja
Hakuna kitu kama hicho, yawezeka wewe ndio hufahamu narudia tena wewe ndio hujuiEndelea kukariri kwa kufuata maneno, kuna watu now wanaumalizia na kuna watu bado kwa sasa wanausubiri
Labda ya kukosea
Kilaza wewe, ukirejea jibu langu nimesema serikali kuu naona watu wamepata, ulitaka nisemee wengine ilihali sipo huko?mzee acha ujinga sijasema hujapata elewa point yangu...ukiona umepata wewe jua wote walio kwenye payroll mzigo umeingia.
Acha ujinga ebooo
Acha ukilaza endelea kujifunza dogo, ukitukana hovyo unaonekana wewe ndio kilaza. Unafikiri system ya Payroll ina sort out kwenye malipo kwamba hawa wa serikali kuu na walio bank ya CRDB ndio walipwe kwanza?Kilaza wewe, ukirejea jibu langu nimesema serikali kuu naona watu wamepata, ulitaka nisemee wengine ilihali sipo huko?
Muuliza swali kauliza taasisi gani imepata nikataja serikali kuu maana ndio nina uhakika nayo.
Haya endelea kubwabwaja tu
Kwa hiyo bajeti ndiyo huingiliwa na msiba..OKDawa ya deni ni kulipa tushafanya kazi Sisi tunasubiri haki yetu yn budget ya msiba Iingilie mishahara yetu??
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app