Inamaana kila mwezi ni blabla toka utumishi sio? Hakuna nyongeza kwa watumishi mpaka lini? Wao viongozi hawaoni ugumu wa maisha, wao wanakusanya kodi tuu ila hawatoi pesa kwa wafanyakazi, ili ikaendeleze biashara mtaani na wao wakusanye kodi kubwa zaidi. Kinachofanywa nikama kuendelea kukamua ng'ombe maziwa wakati hana lishe, mwisho atatoa damu na kufa.
JK, hakua na makusanyo haya, ila tulikua na nyongeza za kila mwaka, mbona JPM anashindwa, visingizio rukuki yaani serekali inajificha kwe uhakiki usio kua na kikomo ilimradi nyongeza sisiwepo.