Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,536
- 34,672
CHAKAMWATA ni chama cha kihuni
ChamaRudi chakamwata kimeshinda kesi dhidi ya waliotaka kife, chakamwata ndio muarobaini wa walimu,
C.w.t wanakula tu pesa ya mwalimu pasipo kumsaidia mwl. Chakuhawata wenyewe sera yao ni kupunguza tu maumivu ya makato kwa kuweka tsh.5000 ila ukikutwa na changamoto za kisheria ujitetee mwenyewe kwa madai kwamba hela wanayokata ni ndogo haitoshi kwa utetezi.
Chakamwata inakupa msaada wa kisheria pale ambapo itatokea kunamgogoro usiorekebishika na mwajiri wako.
Hima wale ambao mlikimbilia chakuhawata baada ya chakamwata kusimama kupisha kesi yake rudini kwa wingi sasa chama kimeshinda mahakama ya rufaa na kinaendelea na majukumu yake.