Mshahara wa mtu mwenye Diploma ya Dental Therapy

C.Thady

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
589
151
Naomba kufahamu kiwango cha mishahara kwa mtu mwenye Diploma ya Dentall Therapy.
 
Naomba kuuliza mm Nina Bsc.ed biology and chemistry nataka nikasomee utaalamu wowote wizara ya afya either degree or diploma naomba wataalamu ushauri wenu
 
Naomba kuuliza mm Nina Bsc.ed biology and chemistry nataka nikasomee utaalamu wowote wizara ya afya either degree or diploma naomba wataalamu ushauri wenu

kozi zote za afya kwa level ya first degree unafit ni wewe japo ushapoteza muda tayari kusoma bachelor usiyoitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom