G Geofree Member Joined Aug 18, 2014 Posts 44 Reaction score 5 Sep 23, 2014 #1 WanaJF hivi mshahara wa mtu mwenye degree in ComputerScience&Info.Tech Tz analipwa TZS ngapi kwa mwezi?
WanaJF hivi mshahara wa mtu mwenye degree in ComputerScience&Info.Tech Tz analipwa TZS ngapi kwa mwezi?
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Sep 23, 2014 #2 elfu kumi....mshahara ni makubaliano bana.
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,767 Reaction score 1,155 Sep 23, 2014 #3 Mshahara ni makubaliano kati ya muajiri na muajiriwa. Mwingine anaweza lipwa 1M, na mwingine 5M. Na pia inategemea kampuni unayofanyia kazi.
Mshahara ni makubaliano kati ya muajiri na muajiriwa. Mwingine anaweza lipwa 1M, na mwingine 5M. Na pia inategemea kampuni unayofanyia kazi.
E EMMANUEL NGAMILA Member Joined Mar 5, 2014 Posts 5 Reaction score 3 Sep 23, 2014 #4 Mshahara sio pie (22/7) ni makubaliano baina ya ww na wao,na inategemea na kampuni pia!!!!!!!
musangano Senior Member Joined Nov 17, 2012 Posts 138 Reaction score 78 Sep 23, 2014 #5 Inategemea na makubaliano au taasisi. Kama serikalini ni kwanzia 760,000 (bila makato)
O ODILI SAMALU JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 1,369 Reaction score 489 Sep 23, 2014 #6 musangano said: Inategemea na makubaliano au taasisi. Kama serikalini ni kwanzia 760,000 (bila makato) Click to expand... Hapana ni tgs d
musangano said: Inategemea na makubaliano au taasisi. Kama serikalini ni kwanzia 760,000 (bila makato) Click to expand... Hapana ni tgs d
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Sep 23, 2014 #7 Inategemea na bargaining power yako kwa HR. Unaweza lipwa 1m wakati mwingine analipwa 3m
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Sep 23, 2014 #8 Zero tsh.
M mathabane JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 2,405 Reaction score 1,898 Sep 23, 2014 #9 serikalini vs binafsi.
O ODILI SAMALU JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 1,369 Reaction score 489 Sep 23, 2014 #10 kat.ph said: Inategemea na bargaining power yako kwa HR. Unaweza lipwa 1m wakati mwingine analipwa 3m Click to expand... Hapana
kat.ph said: Inategemea na bargaining power yako kwa HR. Unaweza lipwa 1m wakati mwingine analipwa 3m Click to expand... Hapana
Mwana wani Member Joined Aug 6, 2014 Posts 58 Reaction score 9 Sep 23, 2014 #11 Km una experience na unafanya kazi kampuni ya maana ni si chini ya 1.5m..ni kati ya 1.5m na 6m (maximum)
Km una experience na unafanya kazi kampuni ya maana ni si chini ya 1.5m..ni kati ya 1.5m na 6m (maximum)
kiwiko JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 1,341 Reaction score 2,218 Sep 23, 2014 #12 Wadau nmeona kazi za IT Attorney General Office mshahara ni TGS D. Je hio ni sh ngapi kwa mwenye degree ya IT ?
Wadau nmeona kazi za IT Attorney General Office mshahara ni TGS D. Je hio ni sh ngapi kwa mwenye degree ya IT ?
P Paullaurent001 New Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Aug 30, 2022 #13 Hellow nataka kujua kiundanii kuhusu kozi ya science and laboratory technology