Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,044
- 1,996
Eti ccm hukata 800k😀Mkuu yoyote wa Idara ndani ya Halmashauri hupokei Mil 3 point something.
Ccm hukata 800K then inabaki Mil 2 point something.
Huu ni mshahara wa Mkuu yoyote ya Idara + DED.
#YNWA
Ccm hukata 800K then inabaki Mil 2 point something.
Kakupora demu(ee Mayebooo...yakuporaaa...)?Wanajamvi, habari za mahangaiko.
Naomba kuuliza anaejua mshahara wa mkuu wa idara elimu wilaya kwa upande wa secondary anijuze.
Nataka kujua DEO secondary ni kiasi gani cha mshahara anaweka kibindoni, anaejua atueleze wanandugu.
Nina sababu za kutaka kufaham.
Ccm hukata laki8. Inamanisha tozo payee au kweli vvm wanachukua hio mia8.Mkuu yoyote wa Idara ndani ya Halmashauri hupokei Mil 3 point something.
Ccm hukata 800K then inabaki Mil 2 point something.
Huu ni mshahara wa Mkuu yoyote ya Idara + DED.
#YNWA
Wakuu wa Idara wanaposho nyingi za madaraka ambazo hazikatwi.Ccm hukata laki8. Inamanisha tozo payee au kweli vvm wanachukua hio mia8.
Mbona sasa anabaki na hela kidogo kulinganisha na status yake.
ila DED anakula kwa mwaka pamoja na posho 30mils piga sasa kwa mwezi plus posho ni shingapi!!! Mpunga wa hawa wakuu wa idara ni nje ya hiyo salary 3.4mils/month.Mkuu yoyote wa Idara ndani ya Halmashauri hupokei Mil 3 point something.
Ccm hukata 800K then inabaki Mil 2 point something.
Huu ni mshahara wa Mkuu yoyote ya Idara + DED.
#YNWA
Anahitaji kujua mshahara hakuhitaji kujua posho ya mtu.ila DED anakula kwa mwaka pamoja na posho 30mils piga sasa kwa mwezi plus posho ni shingapi!!! Mpunga wa hawa wakuu wa idara ni nje ya hiyo salary 3.4mils/month.
Huyo alikua kaimu.Niliwahi kuchungulia salary slip ya afisa elimu sekondary Kisarawe 2016,nikakuta basic 2.5m
Anabaki na mil 2.8 hivii...Ccm hukata laki8. Inamanisha tozo payee au kweli vvm wanachukua hio mia8.
Mbona sasa anabaki na hela kidogo kulinganisha na status yake.
Mimi niliona mshahara siyo posho na Chavila hakuwa kaimu.Alikuwa DEO kamili.Huyo alikua kaimu.
Posho za Wakuu wa Idara kamili (Proper) ni mil 3 point something.
#YNWA
Nilimaanisha mshahara ni mil 3 point something.Mimi niliona mshahara siyo posho na Chavila hakuwa kaimu.Alikuwa DEO kamili.
M hata cjamwelewaAnahitaji kujua mshahara hakuhitaji kujua posho ya mtu.
Kila mtu halmashauri anaposho yake kulingana na nafasi yake.
#YNWA