Hakuna mhasibu mwenye certificate. Huyo ataitwa karani wa hesabu. Uhasibu ni title kama dokta, mhandisi nk.
Kuhusu mshahara utategemea na yeye anatunza hesabu/fedha thamani gani. Mfano sisi kwenye kampuni yetu karani analamba net ya 1.6 m sawa na secretari na dereva wakati nasikia sehemu nyingine wanalipwa laki na nusu

WANAJAMVI! RESPECT TO YOU ALL! Naomba kujua ukitaka kumwajili mhasibu wa level ya cheti mshahara/malipo yake kwa mwaka ni kiasi gani? Kwa fresh na mwenye exp. Ya atleast mwaka 1. kampuni ndo kwanza inataka kuanza.
mkuu hiyo company yenu ni nzuri hamna vacancy hapo mnipe ajira pia katika nafasi yoyote hata nikianza na 500 k itanifaa(its not joke mkuu)
Jaman Mim Na Diploma Wakuu swez pata nafasi kwenye hyo kampuni yenu maana nataman niwatext nashindwa KACHIRImbe and Ipilimo hata mshahara chini ya hapo tuuu
Thanks. Je karani we fedha ndo tunamwita CASHIER? good. Nitamtafuta kama huyo katika initial stage of my company. Nadhani watakuwa wamefundishwa Accounting kwa kiasi cha kuweza kutunza vema hesabu za kampuni na kutayarisha accounting documents (financial statements).
Huo ni mchango wangu mkuu. Na wewe toa wa kwako ili kumsaidia mwenzetuAcha sifa za kitoto.. Mgodi wa GGM ndio unalipa mshahara mzuri kuliko sehemu zingne, kwa uchunguzi wangu.. Na mashirika kama TRA, NSSF, TBL, SERENGETI, TANAPA, ngo kama AGPAHI, PSI na mengine machache ndio yenye mishahara mizuri, tukiacha UN agencies, lakini hakuna mshahara wa dereva kuwa 1.5m..
We hyo kampuni yako ni kampuni gani? Mbona mnapenda sifa za kijinga sana.. Kama wewe ni mkweli taja tu jina la kampuni yako au shughuli yake tukupigie hesabu za mishahara.. Acha mbwembwe wewe..
Huo ni mchango wangu mkuu. Na wewe toa wa kwako ili kumsaidia mwenzetu
mkuu sexioloxist nashukuru kwa comment yako ,tafadhali unaweza kunielekeza vyema hapa?kama hutajali kwa private message mkuu!patiently waitingSina imani na huyo jamaa.. tafuta laki 5.. kaweke kambi mikoani i.e Mtwara, for 2 months, huku ukiwa unatafuta kazi, am sure ukiwa serious utapata!
kuweka kambi ya nini?? funguka mkuuSina imani na huyo jamaa.. tafuta laki 5.. kaweke kambi mikoani i.e Mtwara, for 2 months, huku ukiwa unatafuta kazi, am sure ukiwa serious utapata!
Mkuu naomba maelezo kidogo kuhusu mishahara ya AGPAHI. naona wametangaza vacancies nyingi sana mwezi huuAcha sifa za kitoto.. Mgodi wa GGM ndio unalipa mshahara mzuri kuliko sehemu zingne, kwa uchunguzi wangu.. Na mashirika kama TRA, NSSF, TBL, SERENGETI, TANAPA, ngo kama AGPAHI, PSI na mengine machache ndio yenye mishahara mizuri, tukiacha UN agencies, lakini hakuna mshahara wa dereva kuwa 1.5m..
We hyo kampuni yako ni kampuni gani? Mbona mnapenda sifa za kijinga sana.. Kama wewe ni mkweli taja tu jina la kampuni yako au shughuli yake tukupigie hesabu za mishahara.. Acha mbwembwe wewe..
Kwann usitafute mtu mwenye cpa ukawa unamlipa part time?WANAJAMVI! RESPECT TO YOU ALL! Naomba kujua ukitaka kumwajili mhasibu wa level ya cheti mshahara/malipo yake kwa mwaka ni kiasi gani? Kwa fresh na mwenye exp. Ya atleast mwaka 1. kampuni ndo kwanza inataka kuanza.
ambayo ni kampuni gani hiyo?Hakuna mhasibu mwenye certificate. Huyo ataitwa karani wa hesabu. Uhasibu ni title kama dokta, mhandisi nk.