Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 108
Kila mtu anajua thamani yake. Wewe unajijua thamani yako kulingana na qualifications zako na uzoefu.Wakuu ningependa kujua mshahara wa mechanical technician kwa mtu mwenye elimu ya diploma na hii ni kutokana ni interview moja niliyofanya huku wakinilalanikia kuwa nimetaja kiasi kikubwa sana ambacho si kiwango cha mtu mwenye diploma
Kila mtu anajua thamani yake. Wewe unajijua thamani yako kulingana na qualifications zako na uzoefu.
Ukiulizwa unataka kiasi gani taja unachoona ndio thamani yako kwa uzoefu na qualifications zako. Usiogope, kama wakiwa wapo chini mta negotiate.
Kusitasita kutaja na kujiumauma kunakupotezea points maana mwajiri anakuona kabisa hujui thamani yako.
Kwa hao waliosema kuwa umetaja kiasi kikubwa na wewe unaona ndio thamani yako na inaendana na vigezo nilivyotaja hapo juu unaweza ku negotiate kiasi ambacho utaona bado kina maslahi kwako lakini waambie baada ya muda fulani labda six months kuwe na increments kulingana na performance yako.
Ushauri mzuri sana.Kila mtu anajua thamani yake. Wewe unajijua thamani yako kulingana na qualifications zako na uzoefu.
Ukiulizwa unataka kiasi gani taja unachoona ndio thamani yako kwa uzoefu na qualifications zako. Usiogope, kama wakiwa wapo chini mta negotiate.
Kusitasita kutaja na kujiumauma kunakupotezea points maana mwajiri anakuona kabisa hujui thamani yako.
Kwa hao waliosema kuwa umetaja kiasi kikubwa na wewe unaona ndio thamani yako na inaendana na vigezo nilivyotaja hapo juu unaweza ku negotiate kiasi ambacho utaona bado kina maslahi kwako lakini waambie baada ya muda fulani labda six months kuwe na increments kulingana na performance yako.
Ndio alichomaanisha,thamani sio static,inabadirika kadri uzoefu,Elimu nk vinavyoongezekaUsimpotoshe. Thamani yake inatokana na experience yake! Kama ni entry level basi ajue kwamba hana thamani yeyote.
Hujasoma nilichoandika wewe. 😂Usimpotoshe. Thamani yake inatokana na experience yake! Kama ni entry level basi ajue kwamba hana thamani yeyote.
Jamaa hajasoma comment yangu amekurupuka kujibu.Ndio alichomaanisha,thamani sio static,inabadirika kadri uzoefu,Elimu nk vinavyoongezeka
huwa nashamlngaa hizi kampuni/ taasisi ambazo wafanyakazi wananabargain mshahara. ina maana kwamba hawana salary schemes au?