Naam mkuu zanzibar tunahitaji watu kama nyie kwani wanafunzi tunahitaji kujitegemea-naam wengine hatujawahi kuajiriwa lakini tunalima ba tunavuna/tunafuga mifugo&ukituona tupo ok tena naam mimi mwenyewe naingiza pesa ndefu/vijana tuache uvivu laah sivyo maandamano hayataisha kamweeeeeeeeeeeeeeeeee....
Tuipende nchi kwa kufanya kazi kwa bidiii zaidi &kuweka chachu ya maendeleo......