ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,801
- 60,642
Kama Kuna sehem Kuna mkesha wa kongamano la maombi naomba kukaribishwa au praise and worship.Local Kama Local Government
Aiseeee kesho au keshokutwa SI ndio braza?![emoji26][emoji31][emoji2962]Ndugu yangu umewahi sana.
ππππLeo Hii Dar Es SalaamKama Kuna sehem Kuna mkesha wa kongamano la maombi naomba kukaribishwa au praise and worship.
Hivi system ya mshahara Ina operate automatic na haitakuja kukosea au inakoseaga?J.4...
Hizo neema labda zitaingia bajeti ijayo.au Kuna miradi ya kujazwa Sasa hivi?[emoji1][emoji6][emoji16][emoji38]Leo Hii Dar Es Salaam
Mama Kaleta Mkate Wa Boflo Toka Ulaya Mkoba Umejaa Cash
Ahadi Ya Mama Ni Ile Ile Tule Tusivimbiwe Na Kujamba HovyoHizo neema labda zitaingia bajeti ijayo.au Kuna miradi ya kujazwa Sasa hivi?
Sawa mkuu afande nyie ndo wenye nchi bhna hakuna namna itabidi iwe hivyo tuko pamojaSisi huku jeshini unakaribia kuisha,tunangojea ration tu
Na nyie mtapata tu MkuuSawa mkuu afande nyie ndo wenye nchi bhna hakuna namna itabidi iwe hivyo tuko pamoja
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] napita
Uko serious kweli? Unauliza mshahara wa February Leo tar 20/02/2022?Watu mtaani wamevurugwa wanahamu washike hela na wenyewe wasafiri walau ndani ya nchi.Wafanyabiashara hali ngumu, wafanyakazi hali ngumu, wakulima hali ngumu.Kila mtu anaomba kwa Mungu.View attachment 2125133
Ni serikalini..sio kwa wahindi.Uko serious kweli? Unauliza mshahara wa February Leo tar 20/02/2022?
Kwani uko [emoji1634][emoji898] ya ngapi?