Mkuu samahani tena,naomba uniangalizie TGHS H,ni kiasi gani?Hii ni Basic Salary...ya CO yaani TGHS B..
Take home inategemea na Makato yake..
Sina Salary Slip Kwa sababu Mimi Sio Muhisika yaani Sio CO ila Ninafahamu Mishahara yote ya Afya..Tamisemi na Wizara ya Baadhi ya Taasisi..
View attachment 3244548
Kama 621 hiviMkuu, Hii ni Basic Salary au Take home..?
Weka Salary Slip tuone
Hii basicMkuu, Hii ni Basic Salary au Take home..?
Weka Salary Slip tuone
Hapana ni. Laki 740 +......BasicKama 621 hivi
Kwa yule anayeajiriwa kwa mara ya kwanza. Ni kubwa sana hii mkuu, Baada ya makato yote take home 613000.Kama 621 hivi
Wizarani na TAMISEMI salary scales zao ni tofauti ?Hii ni Basic Salary...ya CO yaani TGHS B..
Take home inategemea na Makato yake..
Sina Salary Slip Kwa sababu Mimi Sio Muhisika yaani Sio CO ila Ninafahamu Mishahara yote ya Afya..Tamisemi na Wizara ya Baadhi ya Taasisi..
View attachment 3244548
Hapana Ila Wizara Ya Afya Kuna Taasisi Nyingi so Kwenye Taasisi Ndo kuna Utofauti wa Mishahara..Wizarani na TAMISEMI salary scales zao ni tofauti ?
Na kwa walimu kwa mfano mwl wa degree ambaye yupo wizarani na mwingine yupo shule ya sekondari Majimatitu. Wana tofauti ya maslahi ?Hapana Ila Wizara Ya Afya Kuna Taasisi Nyingi so Kwenye Taasisi Ndo kuna Utofauti wa Mishahara..
Wuzara ya Afya kwa maana Ya RRH na ZRH na Tamisemi Mishahara Iko sawa Tofauti ni Rrh Na ZRH wao wana Posho Nyingi sana na Allowance Kuliko Tamisemi, Na Kuna taasisi ambazo ziko Nje ya RRH na ZRH ambazo ziko wizara ya afya Kama NIMR, na zingine ,MNH,JKCI nk Mishahara Iko tofauti saaana na Tamisemi kwa kada moja
Mwalimu Aliyepo Wizarani anafanya kazi sehemu Gani?Na kwa walimu kwa mfano mwl wa degree ambaye yupo wizarani na mwingine yupo shule ya sekondari Majimatitu. Wana tofauti ya maslahi ?
HakikaMwalimu Aliyepo Wizarani anafanya kazi sehemu Gani?
Maana Mi ninavyojua Wizara ya Elimu inasimamia Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu..
Na Tamisemi inasimamia Shule zote kuanzia awali mpaka Sekondari sasa Mwalimu Yoyote yupp Chini ya tamisemi..
Hakuna Aliye wizarani
Hata kwenye mawizara kuna vitengo ambavyo walimu wanapiga kazi. Ningeweza kukupa mfano halisia ila basi.Mwalimu Aliyepo Wizarani anafanya kazi sehemu Gani?
Maana Mi ninavyojua Wizara ya Elimu inasimamia Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu..
Na Tamisemi inasimamia Shule zote kuanzia awali mpaka Sekondari sasa Mwalimu Yoyote yupp Chini ya tamisemi..
Hakuna Aliye wizarani
NA ameajiriwa kama Mwalimu?Hata kwenye mawizara kuna vitengo ambavyo walimu wanapiga kazi. Ningeweza kukupa mfano halisia ila basi.
Big noNA ameajiriwa kama Mwalimu?
Kwahgo Unakubaliana na Mimi Kwamba Hakuna Mwalimu aliyeajiriwa Wizarani kama Mwalimu??Big no
Hili nitalitolea ufafanuzi wakati mwingine. Kwa sasa my lips are sealed.Kwahgo Unakubaliana na Mimi Kwamba Hakuna Mwalimu aliyeajiriwa Wizarani kama Mwalimu??
PharmTech, COs, LabTech, BiomedicalTech, Assistant Nursing Officers na diploma zingine zote kada za afya wote mshahara wao ni sawaJe, PharmTech naye anaanzia ngazi ipi?
🤣🤣🤣Hili nitalitolea ufafanuzi wakati mwingine. Kwa sasa my lips are sealed.
Mkuu Niko nje ya mada nimekufuata uku unipe ushauri.hivi Kuna masharti yoyote ya Chakula kwa mgonjwa mwenye hyperthyroidism with diffused multnodullar goita
Ujanja wao upi mkuu?Hizo kada ni wajanja sana .