Mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate ? Nisaidieni wadau

E52

Member
Oct 31, 2010
81
14
nataka kujua mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate....natanguliza shukrani
 
well basic ni 925,000,take home 770,000 .

Mkuu Care hawana hizo Daraja la Graduate wala Masters, Unaweza kuwa na Certficate ukawa unakula mashahara mkubwa kuliko mwenye Masters,

Mishahara ya Care inategemeana wewe uko Idara gana madaraja yanaangalia wewe umeajiriwa kama nani na si elimu yako kabisa, na care hata kwenye interview huwezi ombwa vyeti vya academic
 
kuna nafasi zilitoka hivi majuzi deadline ilikuwa tarehe 14 april vipi ndo wameshaita?
Tujuzane
 
kazi yoyote inategemea position e.g. director, manager, office, or assistant.
so ulitakiwa uwe specific na position ndo watu watakusaidia kukupa highlight
 
Kwani kazi na mshahara kipi kinaanza? Dogo acha mbwembwe kama umepata kazi nenda then mshahara utajua hukohuko. ukiona unakufaa piga kazi au ama la piga chini hyo kazi. Ama la waachie wenzio wanaosota vijiweni wakapige kazi.
 
well basic ni 925,000,take home 770,000 .

mkuu unatudanganya..mimi hapa nalipwa 950,000/= na take home ni 702,000/= so labda kama unatumia tax table mpya ya 2012/2013 ambayo haijatoka na inayosemekana kuwa na viwango vipya vya kodi (nafuu)....
 
mkuu unatudanganya..mimi hapa nalipwa 950,000/= na take home ni 702,000/= so labda kama unatumia tax table mpya ya 2012/2013 ambayo haijatoka na inayosemekana kuwa na viwango vipya vya kodi (nafuu)....

tushtuane mkuu..
 
 
mkuu unatudanganya..mimi hapa nalipwa 950,000/= na take home ni 702,000/= so labda kama unatumia tax table mpya ya 2012/2013 ambayo haijatoka na inayosemekana kuwa na viwango vipya vya kodi (nafuu)....

Kaka huko sawa sawa, kijana atueleze vizuri mchanganuo wa makato hadi net pay ije hivyo, maana kila nikipiga mahesabu yanakataa, angesema mia 7 kasoro ningemuelewa
 
 
Hii ndio mitanzania taahira inayorudisha nyuma maendeleo ya taifa hili. Hivi mshahara unatolewa kwa mikaratasi tunayopewa vyuoni au kazi tunazopangiwa kufanya?

Basi kwa taarifa yenu, FHI360 wanamlipa dereva basic 800, je na huyo dereva angekuwa graduate wamlipe ngapi, 6m au?

Nendeni mkafanye kazi sio kuuliza uliza mishahara. Vyeti vyenu vyenyewe ni vya makaratasi kichani hamna kitu, kazi kuja kujishaua hapa as if mna alternative ya kazi ingine ikiwa hiyo hamtatosheka nayo. Nyambaf kabisa!
 
Ndugu zangu, yawapasa kuwa na format ya Resident Individual Tax Rates.
A 925,000.00
B 92,500.00 92,500.00 NSSF
C 832,500.00 A-B
D 112,500.00 C - 720,000
E 33,750.00 D * 30%
F 146,250.00 E + 112500 TAX
G 238,750.00 B + F Total Deduction
686,250.00 A - G Take Home
 
Uliza uliza mambo ya sasa hayaitaji kukurupuka ni vyema uende mahara ukijua ndo umefika ila ukienda bila kulidhika utakikuta mala leo hapa mala kesho pale panga maisha ndugu fanya maamuzi sahii ukitaka maisha bora kaa sehemu moja kwa mda mrefu pato litaongezeka na utakua na maendeleo Kaza buti.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…