Mshahara wa Assistant Lecturer..

Habari zenu wakuu wangu! Eti, hivi salary ya Assistant lecturer huwa ni sh.Ngapi? Je,huwa kuna utofauti kwa private universities vs public universities kwa hiyo salary? And what about other fringes? Asanteni wakuu..

Kuna tofauti kati ya private na government.
Serekalini especially kwa vyuo vilivyo chini ya nacte wanaanzia 2.2 mil. Other fringe benefits will vary from chuo to chuo. Bt kwa vyuo hiv vya serikali kuna marupurupu saaana.
Khs vyuo vya private kwa sasa vile vinavyolipa vizuri huwa wanaanzia 1.8. Changamoto ya huku private ni kuwa marupurupu ni kidogo
 
Jamani hivi siwezi kupata kazi kama sales&marketing manager kwani nina uelewa mkubwa kwakuwa nimefanya kazi na kampuni za communication, ,magazines,insuarance&financial services ila huko nilikuwa kama non_sales&marketing director/sales&marketing consultant lkn vilevile Bahari kubwa “mawimbi mengi"nahitaji kazi. Jamani kazi mwenzenu...
 

Yaani mpaka kesho nashindwa kuelewa...kweli mtu apewe laki 3 kwa siku kisa anaongea tu...hlf mwingine asoteeee...eti sijui 1.3m...aaah
 
Baada ya makato ni kama 850000/= hivi. Hata hivyo hicho ni kiwango cha Mwaka 2010/11 kiwango kipya kimeshatolewa na hazina. Private kuna motivation zaidi kama Teaching allowance n. ila na mzigo unapiga kwelikweli

Unazungumizia private ipi? Labda St. Augustine Universityt!
Private nyingine mwenye masters analipwa sawa na mwalimu wa degree serikalini.
Ukibisha, nitakupa data.
 
Unazungumizia private ipi? Labda St. Augustine Universityt!
Private nyingine mwenye masters analipwa sawa na mwalimu wa degree serikalini.
Ukibisha, nitakupa data.
aise...
 
Umesomea kitu gani? Kuwa wazi please
 
Umepita miaka mingi, Kwa Sasa ni shilingi ngapi wanachukua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…