SOORI MBISE
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 152
- 106
Naomba kwa anayejua mshahara wa hicho chuo kwa mtu anaye anza kwa ngazi hiyo. Wadau nipo kwenye mkanganyiko nimeitwa interview huko na TIA. Sasa tatizo zote zimeangukia siku moja na wakati mmoja. TIA nimeshapata info zao lakini hako kachuo sijapata info zao. Please nisaidieni niweze kuamua.