Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,914
- 3,438
Kuna wajinga wanawadharau waajiriwa wa serikali. Tukiwa wajasiria mali wote nani atakua rais, mwanajeshi, polisi, mwalimu, dereva, nesi, daktari, muosha vyoo stendi etc. Hawa wote ni muhimu sana kwa kumuwezesha mjasiria mali.Kwann ww usitumie hyo misingi ukafanikiwa? unahangaika kuuza vitabu hp huwa nawashangaa sana nyie maspeaker!
Waambie hao wanakera sanaaaaSiku moja nikiwa natoka gongo la mboto nakuja town akapanda mtu mmoja anauza Vitabu kama hivyo vya biashara na matumizi ya mshahara, jinsi alivyokuwa anaqashambulia wafanyakazi na yeye alivyo in tofauti kabisa, hivyo Vitabu kwanini visiwasaidie kwanza nyie mnaoviuza maana mmechoka mbaya lkn mnawashambulia wafanyakazi, hivyo kabisa kuelezea kitu ambacho ht wewe kimekushinda au hukiwezi kabisa
JF ni stress free zone, hoja yako imenipa faraja kwa vile umeepuka kugeuzwa fursa. Uzoefu umeonyesha matajiri wengi huko vijijini hawajasoma vitabu vya Ujasiriamali hatahivyo wamechanua kimaisha kuliko wahudhuria semina za utunzaji fedha na biasharaSiku moja nikiwa natoka gongo la mboto nakuja town akapanda mtu mmoja anauza Vitabu kama hivyo vya biashara na matumizi ya mshahara, jinsi alivyokuwa anaqashambulia wafanyakazi na yeye alivyo in tofauti kabisa, hivyo Vitabu kwanini visiwasaidie kwanza nyie mnaoviuza maana mmechoka mbaya lkn mnawashambulia wafanyakazi, hivyo kabisa kuelezea kitu ambacho ht wewe kimekushinda au hukiwezi kabisa
Ukishapata mshahara kanunue kitabuWewe uza vitabu vyako tuu, wacha cc tuendelee kusubilia muamala maana ndiyo tarehe zetu hz.
Wewe uza vitabu vyako tuu, wacha cc tuendelee kusubilia muamala maana ndiyo tarehe zetu hz.
Mshahara ni haki yetu..halafu kila mtu na maisha yake acha tupambane na hali zetu..kwa hiyo hicho kitabu ndo kitatuongezea mshahara ama..?
Ndo anatumia hivyoKwann ww usitumie hyo misingi ukafanikiwa? unahangaika kuuza vitabu hp huwa nawashangaa sana nyie maspeaker!
JF ni stress free zone, hoja yako imenipa faraja kwa vile umeepuka kugeuzwa fursa. Uzoefu umeonyesha matajiri wengi huko vijijini hawajasoma vitabu vya Ujasiriamali hatahivyo wamechanua kimaisha kuliko wahudhuria semina za utunzaji fedha na biashara
HAWA JAMAA NI WAZEE WA FURSA BALAA.Hili ni swali ambalo huwa naona watu wakiulizana mitandaoni kila zinapofikia tarehe za mishahara, yaani tarehe 22 mpaka 25 za mwezi.
Ikitokea mshahara umechelewa hata simu moja tu, malalamiko yanakuwa mengi sana. Unajua kwa nini unakuwa umefulia kila zinapokaribia tarehe za mshahara?
Unajua ya kwamba umejichagua kuwa wakala wa mshahara wako, unaupokea na kuwalipa wengine, huku wewe ukibaki mtupu?
Kwenye kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA unakwenda kupata maarifa sahihi ya kukuondoa kwenye huo utumwa uliopo sasa, wa kuwa wakala wa fedha zako mwenyewe.
Soma kitabu hiki na utaweza kupata maarifa sahihi ya kifedha, yatakayokutoa kwenye madeni, kuongeza kipato chako na kukupa uhuru.
Pata kitabu leo kwa kupiga simu 0678 977 007. Karibu sana.
View attachment 1187235