Mshahara wa afisa maendeleo ya jamii,na mtendaji

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Wakuu napenda kuulizia mshahara wa afisa mtendaji maendeleo wa jamii kwa levo ya kijiji au kata.ndo ajira yangu ijayo
 
Mkuu bado thread yako haijakaa vzr...labda kama ulkuwa unamaanisha hiv
Afisa maendeleo ya jamii( community develoent officer)
Afisa mtendaji kata( ward executive officer) au
Afisa mtendaji wa kijiji( Village executive officer) na kama ulikuwa unamaanisha kimojawapo hapo juu bas lazma tujue level of u ar education coz salary scale differ wth the level of education
 
Back
Top Bottom