Mkuu, mimi ni kati ya wale waliosukuma gari la Jairo, lakini sijaona hata senti tano imeingia kwenye akaunti yangu mpaka tarehe ya leo. Ninaapa sitafanya tena kibarua kisicho na malipo cha kusukuma gari la mwanaume mwingine wakati yeye na familia yake wanashiba siku zote.