Mshahara tgrsa

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
Samahani wana JF naomba mnisaidie mshahara wa ngazi ya TGRS A ni kiasi gani maana napenda nifahamu kabla sijaingia mkataba na mwajiri.nisaidieni nipate maamuzi sahihi.
 
Barua yako ya ajira inautaja mshahara huo, isome vizuri.

Kama huna barua omba nakala ya mkataba usome mapema kabla ya kuusaini. Unaweza kukaa nao hata wiki kabla ya kusaini.
 
Samahani wana JF naomba mnisaidie mshahara wa ngazi ya TGRS A ni kiasi gani maana napenda nifahamu kabla sijaingia mkataba na mwajiri.nisaidieni nipate maamuzi sahihi.

Watu wengine bwana! Sema kabla hujaomba nafasi ya Mtafiti kwenye Wizara ya Kilimo ilyotangazwa kwenye magazeti tarehe 9/11. Kama ni kwa mwajiri mbona barua hutaja kiwango cha mshahara hujawahi kuajiriwa nini? Any way ni 829,500/=
 
Ndg yangu umelenga vibaya ila naomba kufamu hiyo ni basi au take home?
 
Back
Top Bottom