duh...! tatizo humu ndani kila mtu anajua yani na hakuna anaekubali kirahisi. May b Sexologist asingeanza na MWEHU yasingetokea haya na May b BENJA angefikiria kwanza na kutumia moyo asingeandika vile. Tuwe wastaarabu wakubwa kila mtu anahitaji kujua mambo, kwaivyo kama mtu atatumia lugha ambayo sio nzuri basi turekebishane kwa lugha nzari ya kueleweka ila si'yakumfanya muomba msaada ajisikie vbaya. Hakuna aliye perfect na wote tuna stress, hivyo tunapofanya vitu tuwe tunatumia AKILI NA MOYO, maana AKILI hueza kuapambanua mambo na kujua hili baya na hili zuri, na MOYO hueza kuteka hisia katika kila jambo tunalolifanya kwaajili yetu na watu wetu wa karibu. AMANI IWE NANYI