Mshahara ni dawa ya kulevya

Mshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
Story na misemo ya wajinga hii, watu wanatumia mishahara na wanatengeneza ukwasi mkubwa, jamaa zangu, wamefungua mpaka makampuni,
BVengineeeing, horizon, waanzilishi nilianza nao tukipokea mishahara kwa wa Hindi! Acha ujinga, tsfuta maisha,
 
Addiction siyo madawa ya kulevya tu

Ova
 
Only you need to focus na uwe kweli crea you know what you need na lazima ujipe MDa wa kua expart kwenye hicho kitu..Sasa jitu linasema linahitaji mtaji ukiuliza ufanye Nini linaseMa biashara yyte tu umeonA biashara fulan aaaah inalipa blaa stupid
 
1.Mshahara ni dawa ya kulevya kama uko kwenye level za kibarua. Kama unalipwa anything below 2M.

In between 2M-4M hio ni kazi.

2.Ukifikia level ya ajira huwezi kuwa na mawazo ya kitoto namna hio. Anything above 4M.
 
Wasomi mnashida sana ya kuyaangalia mambo
Wewe ndo hujui kutafsiri mambo. Umekuwa kama limbukeni tu. Pesa Ni pesa, regardless unapataje. Kinachofuata ni unafanya nini na pesa zako baada ya kuzipata? Hata kama ni kwa betting. Tumia akili yako vizuri. Kuwa na hekima. Mshahara hauna makosa. Umeelewa concept vibaya halafu unaleta huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…