Mshahara nao tumegomewa!!!!

Duh!!! hali inazidi kuwa ngumu kama vipi andamaneni bila hivyo mtazidi kuumia
 
Duh!!! hali inazidi kuwa ngumu kama vipi andamaneni bila hivyo mtazidi kuumia

Kwani walisaini mishahara itakua inalipwa tarehe ngapi?? Je tarehe husika imefika au kelele tu mbona walivyolipwa tarehe 19 hakukua na pongezi wala maandamano?
 
Jaman mshahra tayar au bado nilkuwa maporini nipen update
 
Mnavyodai hakuendani na mnavyofanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…