Usimjibu hivi mwenzako, anaweza kufikiri ametumbuliwa juu kwa juu.
Mshahara wote tunapata pamoja kuanzia Rais mpaka sisi washika virungu.
Internet banking unatazama salio bure, hata mara 5000 per day. Mjiunge
Kwa crdb ukiwa umejiunga na sim banking tu unaweza jiunga direct wewe mwenyewe bila ya kwenda Bank.
Kwa nmb process zinafanana ingawa nmb ni simple zaidi.
Ukipakua tu app zao tayari

Kwa crdb mpaka uwe na Sim banking. Then unajiunga wewe mwemweyewe tu