Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Kiongozi hujaona ma RAS, na MADAS wakitenguliwa? Nafasi yeyote ambayo ni ya uteuzi usipofuata maelekezo, maagizo na kasi ya aliyekuteua ana haki ya kutengua uteuzi wako.Bora DAS&RAS wao ni permanent employees wa serikali.
Ila cheo cha RC&DC inategemea na huruma za mtawala.
Unatenguliws lkn unarudi kwny nafasi yako ya awali kama ulikua ni Dr/mwl/mhasibu huko halmashauri au popote pale,unarudishwa huko.Kiongozi hujaona ma RAS, na MADAS wakitenguliwa? Nafasi yeyote ambayo ni ya uteuzi usipofuata maelekezo, maagizo na kasi ya aliyekuteua ana haki ya kutengua uteuzi wako.
RC mshahara wake ni milioni 4 fedha taslimu za kitanzania huku DC akiambulia nusu ya mshahara wa RC
Hayo mabilioni uliyaona MkuuKwa hiyo Kidoti kutoka mkataba wa mabilioni na wachina hadi tumilioni mbili?
milion mbili wewe unayo mkuu?au unataka tu watu wakuone nawe babu kubwa huku?Kwa hiyo Kidoti kutoka mkataba wa mabilioni na wachina hadi tumilioni mbili?
Wwe sehemu ya Utumishi wa Umma siyo sehemu ya kujipatia utajiri kengee wwee!!Wakuu,
Naona kama maRC , maDC hawapumui , hawalali na wanaishi kwa pressure mno muda wote kuhofia kibarua kuota majani, maana Mh. Rais hachelewi kumtoa mtu, hata kwa kosa dogo la mtu mwingine.
Hawa jamaa wanaishi roho juu sana.
Naona kujua mshahara wa RC na DC plus 'mema' ya nchi mengine kama marupurupu , night allowances , posho etc !
Hivi ni bora uwe RAS badala ya RC na DAS badala ya DC ?
Wataalamu tujage hapa...
milion mbili wewe unayo mkuu?au unataka tu watu wakuone nawe babu kubwa huku?
RC mshahara wake ni milioni 4 fedha taslimu za kitanzania huku DC akiambulia nusu ya mshahara wa RC
milion mbili wewe unayo mkuu?au unataka tu watu wakuone nawe babu kubwa huku?
Wale ambao hawakua na nafasi zozote zile serikalini zaidi yakukaa Lumumba,watarudishwa wapi endapo wakitenguliwa,i.e hao ma DAS na RAS?Unatenguliws lkn unarudi kwny nafasi yako ya awali kama ulikua ni Dr/mwl/mhasibu huko halmashauri au popote pale,unarudishwa huko.
Kwa hiyo Kidoti kutoka mkataba wa mabilioni na wachina hadi tumilioni mbili?
Unaishi nchi gani?Wwe sehemu ya Utumishi wa Umma siyo sehemu ya kujipatia utajiri kengee wwee!!