Mshahara na marupurupu ya maRC na maDC hapa Tanzania

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Wakuu,

Naona kama maRC , maDC hawapumui , hawalali na wanaishi kwa pressure mno muda wote kuhofia kibarua kuota majani, maana Mh. Rais hachelewi kumtoa mtu, hata kwa kosa dogo la mtu mwingine.

Hawa jamaa wanaishi roho juu sana.

Naona kujua mshahara wa RC na DC plus 'mema' ya nchi mengine kama marupurupu , night allowances , posho etc !

Hivi ni bora uwe RAS badala ya RC na DAS badala ya DC ?

Wataalamu tujage hapa...
 
Kiongozi hujaona ma RAS, na MADAS wakitenguliwa? Nafasi yeyote ambayo ni ya uteuzi usipofuata maelekezo, maagizo na kasi ya aliyekuteua ana haki ya kutengua uteuzi wako.
Unatenguliws lkn unarudi kwny nafasi yako ya awali kama ulikua ni Dr/mwl/mhasibu huko halmashauri au popote pale,unarudishwa huko.
 
Wakuu,

Naona kama maRC , maDC hawapumui , hawalali na wanaishi kwa pressure mno muda wote kuhofia kibarua kuota majani, maana Mh. Rais hachelewi kumtoa mtu, hata kwa kosa dogo la mtu mwingine.

Hawa jamaa wanaishi roho juu sana.

Naona kujua mshahara wa RC na DC plus 'mema' ya nchi mengine kama marupurupu , night allowances , posho etc !

Hivi ni bora uwe RAS badala ya RC na DAS badala ya DC ?

Wataalamu tujage hapa...
Wwe sehemu ya Utumishi wa Umma siyo sehemu ya kujipatia utajiri kengee wwee!!
 
Mimi sina nashangaa huyo alituaminisha watanzania kuwa kapata dili la bilioni ngapi sijui la kidoti brand sasa iweje aende kwenye uDC wenye pesa ndogo?

Nadhani hata wewe huna hiyo 2 mil unatang'ana tu kama mimi.
milion mbili wewe unayo mkuu?au unataka tu watu wakuone nawe babu kubwa huku?
 
Gunia 20 za mpunga.... Mwaka huu mpunga nimevuna gunia 450, mahindi gunia 200, kunde gunia 50 na mbaazi gunia 70... Maisha ni mbinu tuu....
milion mbili wewe unayo mkuu?au unataka tu watu wakuone nawe babu kubwa huku?
 
rc 6, dc 5

nyumna, usafiri, chakula, madem, bendera, simu, misifa, rushwa nk bureee.

kwa mwezi hakosi 5 ya juu akiamua.

kazi ambayo unaweza ukaihudu hata kwa miaka 20 ni udas tyu.

mzee wangu amekuwa das miaka kadhaa. nikiitaja walioko utumishi watapekiwa ili wanijue.
 
Unatenguliws lkn unarudi kwny nafasi yako ya awali kama ulikua ni Dr/mwl/mhasibu huko halmashauri au popote pale,unarudishwa huko.
Wale ambao hawakua na nafasi zozote zile serikalini zaidi yakukaa Lumumba,watarudishwa wapi endapo wakitenguliwa,i.e hao ma DAS na RAS?
 
Unaweza kuta hata huo mshahara hauchukui Bank...Ukiwa na cheo unapata fursa nyingi ndugu yangu.Unawezakuta kwasiku anaingiza zaidi ya huo mshahara wa mwezi.Cheo kwa nchi za Africa ni Ulaji.
Kwa hiyo Kidoti kutoka mkataba wa mabilioni na wachina hadi tumilioni mbili?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom