Watumishi tunajua bajet ndani mchele kilo 30 unga sembe kg25 mafuta lita5 dagaaa kilo mbili maharage kilo kumi sukari kg5 tambii za kutosha gharama yake laki na 50 haya inayobak matumiz madogo kama mboga za majani na nyanya pamoja na nauli hivi vitu vyote vinakaa miezi 3 kwahiyo mshahara wa mwezi unaofata unabaki kibindoni maisha yanaendaaa fresh