kijanamimi
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 245
- 176
Habarini humu ndani,
Ningependa kufahamu kisheria mfanyakazi wa private sector anastahili kulipwa mshahara wa kima cha chini shilingi ngapi?
Na je mfanyakazi anaweza kufanya kazi miaka mitatu bila mshahara wake kupanda?