Pretty P,Habari wanajf? Mimi ninafanya kazi ktk campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu niingie hatuja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Yaani inategemea na wateja utakaopata na oteja mmoja Tsh500 na kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Nisaidieni ni haki kweli wana jf?
habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000tsh tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa nssf,
ni sawa kweli wana jf?
dadavua mambo wewe!sema ni kampuni gani sio unafichaficha!taja jina la kampuni yako na ipo wapi!
Mmmmh!! S
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?
Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi
Utasikia wanaanza kwa kusema eti basic Tsh. 105,000 kisha ukipata wateja 600 unapewa 1000( buku) kwa kila mteja kama commission
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?
Sio unalalamika lalamika ovyo wewe kama vipi si uache hiyo kazi? hulazimishwi, kwa mashahara huo inaonekana kwanza Elimu yako ni ndogo sana either form 4, au form 2! so who cares about it! hiyo inaitwa cheap lobour! Everywhere in the world is existing! People/mostly are getting higher salaries in relation to their level of education.
Sio unatuletea hadith rejea hapa kumbe wewe ni secretary tu wa kikampuni fulani. Tena kazi uliomba kwa kubembeleza leo ohoo mshahara mara mkataba! We vipi bana?
Kama rudi class, then baadae dai dau la juu, utalipwa tu tena faster
Sio unalalamika lalamika ovyo wewe kama vipi si uache hiyo kazi? hulazimishwi, kwa mashahara huo inaonekana kwanza Elimu yako ni ndyogo sana either form 4, au form 2! so who cares about it! hiyo inaitwa cheap lobour! Everywhere in the world is existing! People/mostly are getting higher salaries in relation to their level of education.