Mshahara Benki ya Posta

Sio mbaya hio 600k kwa kuanzia bila uzoefu,hata kazi zenyewe hazitaki experience nadhani watachuja kwa GPA tu . Unaweza kupata uzoefu wa kazi na kutafuta mahala pengine pazuri,sio kila unaemuona ana mshahara mkubwa kwa sasa ukadhani alianzia huo huo jua na yeye alitoka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…