Mshahara Benki ya Posta

nyantuzu

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
87
Reaction score
24
habari wana jamvi, naomba kujuzwa mshahara nafasi ya benk teller na loan officer kwenye benk tajwa hapo juu.
 
Ahsanteni wakuu, kuku wa kienyeji hiyo gross ya 400,000 ilikuwa mwaka gani?
 
Naskia wakiweka tu kwenye ac then bank waki debit chaji zao unabaki empty!

aahaahaa, mkuu ldd inamaana mishahara yao nisawa na benki charges? yaani waki credit account yako kwa kukuwekea mshahara then bank waki debt bank charges balance inabaki "0" ZERO!
 
maana shirika la posta nalo by 2012,walikua wanatoa gross ya 400k.

Kwa maisha ya sasa 400,000/- ni kiasi kidogo kumudu gharama za maisha. Sijui tufanyeje biashara na zenyewe ngumu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…