Msemo wa mwanamke anaexpire baada ya kuzaa!

Msemo wa mwanamke anaexpire baada ya kuzaa!

zen

Senior Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
106
Reaction score
94
Hala!Natumai nyote ni wazima.

Ningependa tujadiliane kuhusu huu msemo wa mwanamke huexpaya baada ya kuwa na watoto. Unamanisha nini? Au unamaanisha mwanamke anaejitupa baada ya uzazi au kwa kuwa ameshaitwa mama??
 
Utamu unaishaga ule mnato unaisha kabisa linabaki swimming pool na nyonyo yote ina toka saa sita mchana mpaka saa moja na nusu jioni
 
Ni fununu tu ambazo hazina ukweli..ila kubadilisha chakula unaruhusiwa
 
Inategemea na jinsi anavyojiweka baada ya uzazi.
Kama anafanya mazoezi mara kwa mara na kula vizuri, hawezi kuhatibika kama wanawake wengi inavyowatokea.
Nawafahamu wanawake baadhi ambao wamezaa watoto watatu na bado wanaita.
Hata ukipiga nao mechi, you'll notice no difference. Mnato upo palepale.
 
Mbona nyie mkishazaa tukiomba papuchi utasikia ''sasahivi tushakuwa na mtoto kufanya kila saa kama zamani kipindi tukiwa wawili haiwezekani''.....pia kuna vitu huwa vinapungua/huwa mnaacha kuvifanya pindi mkishazaa na tukiuliza jibu utasikia ''nina mtoto hivyo siko kama zamani''...hapo unataka uitwe brand new ili iweje?..''EXPIRED''
 
mwanamke aliyezaa ni mtamu sana.. unaenjoy na yeye anaenjoy sana hasa ukiwa umezaa nae wewe..

hata mkilala njaa ila mkipiga game mnaenjoy sana... ile ya kibaba na mama full raha
 
Hakuna ku expire hapo,hicho kitu kikishatoaga mtt kinarudi mahalipake,jiamini mana naona huyo mume atakutia uchizi
 
Hakuna ku expire hapo,hicho kitu kikishatoaga mtt kinarudi mahalipake,jiamini mana naona huyo mume atakutia uchizi
Acha tu jamani, kwa thread za huyu dada huyo mume lazima amtie uchizi wa hiyari
 
mwanamke aliyezaa ni mtamu sana.. unaenjoy na yeye anaenjoy sana hasa ukiwa umezaa nae wewe..

hata mkilala njaa ila mkipiga game mnaenjoy sana... ile ya kibaba na mama full raha
True story of my life
 
Sichaguagi nyapi yaani ata iwe na watoto fifute naigegeda tu kitaa wananiiitaga ant ugwadu kwa maduu sampuli zooote
 
Kwa hapa bongo wanawake wengi hupoteza mvuto baada ya kuzaa, ni muhim sana kufanya mazoezi pamoja na kula vizuri ili kumaintain miili yao!
 
Back
Top Bottom