Msemo: Maisha magumu! Ni lini yaliwahi kuwa rahisi?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Wakati nakua wakubwa zangu walikua wanasema siku hizi maisha yamekuwa magumu, sasahivi nimekua bado nasikia kuna watu wanatumia huu msemo ikiwemo mimi.

Sasa nauliza ni lini maisha yalishawahi kuwa rahisi?

Wajuzi mtuambie.
 
Back
Top Bottom