upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,072
- 4,482
Huo ushauri Kagame aliwahi pewa na JK kiroho safi akageuka mbogo,kuna siku atatamani angekuwa msikivu.Ningewashauri wakae katika mazugmzo waelewana kwasasa armed struggle iwezakani kwasasa nikutesa already impoverished Rwandese......
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hasa Watusi wana Asili ya uoga, ni legevu sana! Ila wahutu ni ngoma ngoma, hawakubali mpaka tone LA mwisho.Kagame atakula nyama yake soon,shida ya Rwanda sinauhakika kama wananchi wana solidarity kama za Kiarabu kuongeza shinikizo
Sija elewa hii habarihttps://www.facebook.com/
Barabara muhimu naona nusu imekamatwa na Sankara Kutoka Ruzizi sasa barabara ya Kigali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paulo yeye ni kabila gani?Wengi hasa Watusi wana Asili ya uoga, ni legevu sana! Ila wahutu ni ngoma ngoma, hawakubali mpaka tone LA mwisho.
Ni mtutsi huyo, yaani watutsi kwa hapa Tanzania nadhani tunaweza kusema ni kama wanaume Wa dar (nimetoa mfano tu 😎.)Paulo yeye ni kabila gani?
Aaah huo mfano safi kabisaNi mtutsi huyo, yaani watutsi kwa hapa Tanzania nadhani tunaweza kusema ni kama wanaume Wa dar (nimetoa mfano tu 😎.)