Msemaji wa Waasi Rwanda: Hatuna namna zaidi ya kupigana na Kagame

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,167
2,000
Kagame atakula nyama yake soon,shida ya Rwanda sinauhakika kama wananchi wana solidarity kama za Kiarabu kuongeza shinikizo
 

wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
6,853
2,000
Hahah story tu hizo za mrembo Sankara kumtoa PK hapo.

By the way umeona mkuu wa intelligency wa FDLR na boss mwingine wa hao FDLR wamekamatwa huko Congo na wamefikishwa mahamani huko Kigali jana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,786
2,000
Habari ya uasi Rwanda inanichanganya sana. Ukiongea na baadhi ya sources wanadai Kagame ana-dramatise tu hii kitu ili azidi kuaminiwa na umma wa Rwanda na dunia kwa ujumla.

Sources hizi zinadai Sankara ni rafiki mkubw wa Kagame, hivyo anachofanya ni hadaa tu.

Soon Kagame atajifanya kamdhibiti Sankara na kujiongezea umaarufu zaidi kwa kulinusuru taifa kuingia ktk machafuko.
 

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,157
2,000
Niliwaambia jana kwamba nitawapa mrejesho nipo Kampala story kubwa ni Sankara. Lakini pia Kuna wanyarwanda waliochoka kuishi uhamishoni waishafika Tanzania kupitia BUKOBA wengi wanaelekea Karagwe-Kyerwa sijui wana vikao gani uko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom