Msemaji wa waasi Rwanda akiri kufanya ugaidi na uhaini Mahakamani

Hao wote uliowataja mbona hawakuingia Congo kabla Rwanda haijaingia kwenda kuwaua interahamwe na vizazi vyao?

Engineer soma hiooooooi.

Rwanda has several points on its agenda in the war against Kabila. The country is battling with the ex-FAR (former Rwandan government troops) and Interahamwe militias responsible for the 1994 genocide. Unlike any other player in Congo, Rwanda's war has been fought mainly on Congolese soil since the overthrow of the Habyarimana regime in 1994.

The Rwandan conflict was exported onto its neighbour's territory when the entire former government removed itself to the camps in Eastern Zaire after the genocide and re-established itself there. Since then, the Rwandans have been claiming that Congo represents a security threat to the very existence of the Rwandan state. When the RPA supported the AFDL rebels under Kabila, the aim was to neutralise their own opponents who were backed by Mobutu.

During the planning of the operation, the Rwandans recruited Banyamulenge youths to protect Tutsi communities in Kivu under threat of expulsion from Zaire. In the process, they developed a plan to overthrow Mobutu, which was successfully carried out with the support of other Congolese and regional allies.

First congo war haikuwa rwanda dhidi ya congo ilikuwa ni vita ya kumtoa mabutu ambae nchi nyingi zilikuwa hazimtaki mfano Angola,burundi,Uganda , Eritrea na nyingine nyingi

Kwenye first congo war battle pekee ambayo rwanda ilishinda pekee yake ni dhidi ya UNITA tena waliwageuka Unita baada ya kuikalibia Kinshasa
 
Hizo nchi hazikuingia vitani kwa sababu walikuwa wananufaika kiasi fran na utawala wa mabutu mfano Angola
So rwanda alivyoanzisha vita na nchi zingine zikapata sababu ya kuingia congo

Kitu pekee rwanda ilichowazidi wenzake ni kuwa na plan B
Hao wote uliowataja mbona hawakuingia Congo kabla Rwanda haijaingia kwenda kuwaua interahamwe na vizazi vyao?

Engineer soma hiooooooi.

Rwanda has several points on its agenda in the war against Kabila. The country is battling with the ex-FAR (former Rwandan government troops) and Interahamwe militias responsible for the 1994 genocide. Unlike any other player in Congo, Rwanda's war has been fought mainly on Congolese soil since the overthrow of the Habyarimana regime in 1994.

The Rwandan conflict was exported onto its neighbour's territory when the entire former government removed itself to the camps in Eastern Zaire after the genocide and re-established itself there. Since then, the Rwandans have been claiming that Congo represents a security threat to the very existence of the Rwandan state. When the RPA supported the AFDL rebels under Kabila, the aim was to neutralise their own opponents who were backed by Mobutu.

During the planning of the operation, the Rwandans recruited Banyamulenge youths to protect Tutsi communities in Kivu under threat of expulsion from Zaire. In the process, they developed a plan to overthrow Mobutu, which was successfully carried out with the support of other Congolese and regional allies.
 
Hizo nchi hazikuingia vitani kwa sababu walikuwa wananufaika kiasi fran na utawala wa mabutu mfano Angola
So rwanda alivyoanzisha vita na nchi zingine zikapata sababu ya kuingia congo

Kitu pekee rwanda ilichowazidi wenzake ni kuwa na plan B
Mkuu lazima tukubali kipindi hicho Zaire ilikuwa njia panda kisiasa na Mobutu alishaanza kujichokea kwa Ugonjwa pia madola makubwa kama Marekani yalishaanza kumchoka na baada ya utawala mpya kuingia Rwanda nchi ya Ufaransa ilipoteza mshirika na Marekani kupata kauli hivyo Mobutu alibakiza Ufaransa kama mshirika wake na hata alipolalamika UN kwamba nchi yake imevamiwa na majirani ni Ufaransa tu ndiye aliyemuunga mkono (hata kupendeza kikosi cha UN kupelekwa Zaire mashariki) ila Marekani ilipinga ili kumlinda mshirika wake mpya (Rwanda) hivyo kuanguka kwa Mobutu kusinge epukika.
 
Huo ndio ukweli Rwanda peke yake asingemuweza mobutu
 
Kwani hufahamu kwamba CMI wa Uganda akishirikiana na wakina Nyamwasa wanachukua watu Uganda kwenda kuwatrain huko Congo na Burundi?Mbona hio inajulikana boss.

Na btw CMI huyo wa Uganda mwaka jana walimkosa kosa kidogo tu kummaliza sa hivi ulinzi alionao ni balaa yeye na General Salim(Mdogo wake M7) walikua targeted sa hivi wanaishi kama kuku.

It's a fair game huku PK anafadhili waasi wa Burundi,huku Burundi inahifadhi waasi wa PK wala hakuna tatizo kwenye hilo.
Ahahahahha hivi vinchi vidogo vidogo vina shida sana. Ukabila ukabila ukabilaaaaaaaaaa Hapo ndipo namkumbuka baba wa Taifa alivyokua anakemea ukabila kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom