Wote mnaoshangalia timu za nje muwe ni mashabiki wa Yanga, Simba, takataka gani sijui! huwa nawaona hamnazo kabisa kichwani. Mniwie tu radhi.
Binafsi ni shabiki wa Yanga, lakini inapotokea Simba ikacheza na timu ya nje, ni ukweli ulio wazi! nitafarijika kuiona Simba ikishinda. Utaifa kwanza halafu utani wetu ubakie pale tu tunapocheza wenyewe kwa wenyewe.