Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ndege waliagiza wao Lisu anatoka wapi kwa nn Lissu awe na nguvu kuliko aliyeaiza ndege Hebu tuweni wakweli mda mwingine tuache kuwa na sababu zisiso na mashiko Mwanasheria mkuu anafanya nn mpka kina Lissu wafanye hayo yote hii nichuki tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upumbavu unaoandikwa na baadhi humu unashangaza sana. Huyu mtu kishaligharimu Taifa letu matrilioni ya pesa kwa miaka chungu nzima sasa kwa kukurupuka kwake na ufisadi wake.

Badala ya kumshutumu huyu mkurupukaji na kumtaka awajibike kama mhujumu uchumi wanataka kumbambikia kesi Kamanda Lissu wakati hakuhusika kwa namna yoyote ile!

Hawa watu kama hawajatumwa na kama kweli ni akili zao hizi wanatumia basi taifa lina hasara kubwa sana.

Naamini hata jamaa huko kwenye jumba jeupe anaona aibu kwa aina hii ya utetezi.
 
Habari zenu wakuu, serikali ya awamu ya tano inajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kiuchumi ili kujikwamu kutoka dunia ya tatu kwenda dunia ya pili.Tumeona Juhudi kubwa zikifanyika katika kuhakikisha hilo linawezekana.Tumeona jinsi serikali ilivyodhibiti ufisadi ambao kwa kiasi kikubwa uliturudisha nyuma.

Tunaona serikali ilivyojitahidi kujenga miondombinu nzuri ili kuhakikisha kila kona inafikika tena kirahisi ikiwezekena miaka ya mbele mtu awe anaishi morogoro anafanya kazi dar es salaam.Tumeona upokonywaji wa viwanda kwa watu walioshindwa kuviendeleza ili vienelezwe.Tumeona jinsi wawekezaji wanavyobanywa ili rasilimali zitunufaishe watanzania.

Lakini kumeibuka wanasiasa njaa wachache wenye njaa ambao wanatumika na watu wasiitakia mema Tanzania yetu kama vile mafisadi wauza madawa na wawekezaji wengi kurudisha nyuma juhudi za mh Rais katika kuleta maendeleo kwa kuwachochea na kuwashawish wananchi wasimuunge mkono mh Rais.Pia wanatumika katika kueneza habari za uongo zenye lengo la kuwakatisha tamaa wananchii.Tunaomba serikali iwachukulie hatua wanasiasa wa namna hii ikiwezekana washitakiwe kama wahujumu uchumi au wahaini.
Wahujumu uchumi ni wale waliopitisha sheria zilizokabidhi wazungu madini yetu kwa hati za dharura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richmond nayo wanadai change yao, maana nao walishinda kesi wakati kama huohuo. Mjiandae kulipa kodi vizuri, si mmewafundisha wenyewe. Na hili deni sasa litakuwa kubwa na zuri sana maana walishinda kesi kitambo.

http://allafrica.com/stories/201101070212.html
The government has resolved to pay Dowans $65 million (about Sh91 billion) as ordered by the International Chamber of Commerce (ICC) after losing a case against the company in November last year.


The minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, told reporters in his office yesterday that the government has reached the decision after going through the ICC judgment and finding no grounds for an appeal.


...
Kwan unafkir sie tnapendaa?!! tatixo sizonje baba...
sa sjui tfanyaje?
 
Kwan unafkir sie tnapendaa?!! tatixo sizonje baba...
sa sjui tfanyaje?

Hiyo mbona mlipe tu na ya Richmond inakuja, mmewafundisha wazungu jinsi ya kukamatiana mali kiafrika afrika. Soma hiyo utajua nani mzee wa richmond.
 
Mimi ningepata URAIS hata kwa wiki moja tu, kazi ya kwanza kabisa ingekuwa ni kuwashikisha adabu watu wa namna hii. Ningewashikisha adabu kwa kiwango cha KIMATAIFA ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Hatuwezi kuwa na majitu yasiyo na UZALENDO kwa kiasi hiki.
Huwezi kuwa unapigana vita ili kuikomboa nchi halafu linatokea GENGE la wahuni wachache wanaowasaidia maadui ili kuiteketeza nchi.
Katika hotuba za mwl. Nyerere aliwahi kusema hivi, katika mapambano kama haya, huwa MAJIZI yanaibuka humo humo na WATETEZI wa MAJIZI wanaibuka humo humo.
Kwa hiyo mimi nisingewaua lakini cha moto wangekipata kwa maslahi ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa serikali jukumu lake ni kuwadhibiti hao wanasiasa wapumbavu wasio itakia mema inchi yetu na sio kulalamika kwa wananchi. Serikali haishindwi kufanya maamuzi magumu kwa watu wachache wanaotaka kutia doa uchumi wetu na taifa kwa ujumla. Serikali haitakiwi kuwavumilia au kuvuta subira kwa watu hawa ni hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzeni na sizonje!
 
Hiyo mbona mlipe tu na ya Richmond inakuja, mmewafundisha wazungu jinsi ya kukamatiana mali kiafrika afrika. Soma hiyo utajua nani mzee wa richmond.
ee dawa ya deni kulipa tuu!!

siku ubalozi wetu hata m1 ukiuzwa ttapata akili.....
 
ee dawa ya deni kulipa tuu!!

siku ubalozi wetu hata m1 ukiuzwa ttapata akili.....

tutauzwa wote, maana madeni toka enzi za mwl Nyerere mengine hadi leo hayajalipwa. Ila kwa vile mmewafundisha african ways yakushikiana mali unapomdai mdeni wako, basi wacha tulipe kodi ikishindikana waje wachukue hata bahari ya hindi wazuie.
 
Kama umenisoma hapo juu nimesema tutalipa wote aliyekuemo na asiyekuwemo. Sasa nashangaa mtu kururahia kulipishwa kodi zaidi ili maisha yake yawe mabaya zaidi.
Ha ha ha Just ha ha ha kishavuta chake. Wacha maisha yawe taiti.
Baadhi ya watu ni waajabu sana.

"the highest risk should give maximum profit"
 
MASWALI 10 KUHUSU MAJIBU YA SERIKALI JUU YA NDEGE YETU KUKAMATWA CANADA.

Jana Lissu aliibua mjadala kuhusu ndege yetu kukamatwa huko Canada kutokana na deni la TZS Bilioni 87 tunalodaiwa na kampuni ya Stirling Engineering Ltd, kutokana na kuvunja nao mkataba wa ujenzi wa barabara ya Wazo Hill - Bagamoyo mwaka 2009.

Mjadala ukawa mpana baada ya kupata attention kubwa kwa watu na vyombo vya habari. Mbunge wa Kigoma mjini ZZK akauendeleza mjadala huu kwa kumuita Waziri Mbarawa kwenye ukurasa wake ili ajibu kama ni kweli ndege yetu imekamatwa au lah.

Alhamdulilah. Waziri akajitokeza. Kama mjuavyo Waziri Mbarawa ni mtumiaji mzuri wa mitandao. Mbarawa akakanusha taarifa hizo na kusema ni uongo na uzushi. Akaema ndege ipo na HAIJAKAMTWA, isipokua kuna mambo ya kiufundi hayajakamilika. So yanamaliziwa and soon ikiwa tayari itawasili nchini.

Vijana wa CCM wakamshangilia majibu hayo "mazuri" na wakaanza kumtukana ZZK kwamba anashabikia propaganda za uongo za Lissu.

Leo Naibu Murugenzi ya Idara ya Habari Maelezo, ambaye pia ni Naibu Msemaji Mkuu wa serikali Bi.Zamaradi Kawawa amefanya mkutano na waandishi wa habari. Kwa kinywa chake amekiri kwamba NI KWELI NDEGE YETU IMEKAMATWA CANADA kutokana na kesi iliyofunguliwa mahakama ya usuluhishi ya kimataifa na kampuni ya Stirling Construction Ltd. Lakini akasema wanasiasa ndio wamesababisha ndege hiyo kukamatwa. Kwa kifupi amewalaumu sana wanasiasa na kuwabebesha mzigo wote wa kukamatwa ndege yetu.

Maelezo ya Zamaradi leo na yale ya Prof.Mbarawa jana yamenipa maswali yafuatayo:

1. Kwanini Zamaradi amesema Wanasiasa ndio wamechochea ndege hiyo kukamatwa? Ina maana "driving factors" za kukamatwa ndege hiyo ni wanasiasa tu? Just that? How?

2. Kuna uhusiano gani kati ya wanasiasa na kitendo cha kuvunja mkataba na kampuni ya Stirling Constructuon?

3. Wale vijana waliomtukana Lissu na ZZK jana mitandaoni na kuungana na Prof.Mbarawa kusema hakuna ndege ya Tanzania iliyokamatwa, wamejisikiaje baada ya Zamaradi kukiri kuwa ni kweli ndege yetu imekamatwa?

4. Kwanini maafisa waandamizi wa serikali (Waziri na Msemaji mkuu wa serikali) wanapingana hadharani? Waziri anasema ndege haijakamatwa, Msemaji mkuu wa serikali anasema ndege imekamatwa. Je Waziri hakua na taarifa au alidhamiria kudanganya?

5. Je, inawezekana Waziri husika asijue kuhusu suala hili la ndege wakati lipo chini ya Wizara yake?

6. Kwanini Zamaradi hajawataja hao wanasiasa waliozuia ndege yetu kukamatwa? Na kwanini hajaeleza wamezuiaje?

7. Kama serikali ilivunja mkataba na kampuni ya Stirling Construction, na kampuni hiyo ikaenda mahakamani na kupewa kibali cha kukamata ndege yetu, kwanini Zamaradi asiseme kwamba aliyezuia ndege yetu kukamatwa ni Waziri wa ujenzi (wa wakati huo) aliyefanya maamuzi ya kukurupuka, badala ya kuwasingizia wanasiasa?

8. Kwanini serikali haikusema mapema jambo hili kabla Lissu hajaliibua? Walitaka kuficha nini?

9. Lissu alieleza jana kwamba serikali italipa Dola milioni 12.5 (Kama TZS Bilioni 30) ili ndege hiyo iachiwe, wakati mazungunzo mengine yakiendelea (kuondoa pingamizi lililopo mahakamani). Maana yake ni kwamba tukiona ndege hiyo imetua tujue tumeshalipa Bilioni 30 za awali. Je pesa hizo zinatoka wapi? Ni kodi za wananchi? Kwanini Waziri aliyevunja mkataba huo asiwajibishwe kulipa peke yake?

10. Basil Mramba na Grey Mgonja walisababishia taifa hasara ya dola 7.5M sawa na TZS Bilioni 11, wakashtakiwa na kufungwa jela. Je serikali haioni kuna umuhimu pia wa kumshtaki waziri wa ujenzi (wa wakati huo) aliyevunja mkataba na kampuni ya Stirling kwa kukurupuka na kuliingiza taifa kwenye hasara?

Malisa GJ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tutauzwa wote, maana madeni toka enzi za mwl Nyerere mengine hadi leo hayajalipwa. Ila kwa vile mmewafundisha african ways yakushikiana mali unapomdai mdeni wako, basi wacha tulipe kodi ikishindikana waje wachukue hata bahari ya hindi wazuie.
asa tfanyaje maana robo 3 ya makusanyo inaishia ku service madeni inayobaki mishahara

haha!! just hahahaa....

tukiendelea sana ttafkua makaburi maana knachotutesa ni bajet ndogo +no misaada


ila dawa ya deni kulipa hata kama ni $mil 1 kwa miaka 2 ni sawa
atlist anaedai anapata moyo
na sio kauli za kibabe et silipi n'goo kutishia wawekezaji "
wanaambizana hawa bora uchukue chako mapemaa!!!

tutulie tuu
 
Nimeuliza unamzungumzia Tundu huyu aliekuwa akituaminisha LOWASA ni fisadiiii. Na baadae akala matapishi yake mwenyewe au yupiii
Well sina uhakika kama unajitambua. Swala la lowasa linaingiaje kwenye swala la ndege? Anyway I can understand. There is no way a zero brain from callomedge can reason properly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemuona msemaji wa serikali yaani anajikanyaga tu. Hili ni taifa letu wote jamani, mkubwa akikosea akosolewe tu, wananchi kimsingi ndio waajiri wake. Mnapowatupia mpira wapinzani inaonyesha jinsi mnavyodhani kwamba watanzania hawana akili.
 
Back
Top Bottom