TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

wanakazi sana

US hawezi ardhini watadonolewa mmoja baada ya mwingine
 
Nenda camp ya nyarugusu uone pale kuna wakimbizi wana miaka ila bado ni wakimbizi,kina kibu wamezaliwq makambini ila bado uraia wa TZ wakapewa uzeeni,mobutu aliwakosea sana wakongo kwa kuwaruhusu banyamulenge washaishi mtaani,angewawekea refugees camp kama alivyofanya nyerere
 
Hizo za satellite kuona pink arshini ni chai
 
Sultan Makenga kiboko yake alikuwa Mamadou Ndala ambaye alishapigwa chuma miaka kadhaa iliyopita ilikuwa chuma kweli
 
Sawa najua huna uwezo wa kucomprehend, hii ni chungu Sana...bth nmeona mawazo yako.
Tuliambiwa hivyo kabla ya vita vya Afghanistan,hatukuona huo uwezo,tukaambiwa hivyo kabla ya vita vya hamas na Israel,tukaona Israel wamemuua sinawar bila kutarajia
 
Uwaweke refugee camp wakati mipaka ilivokatwa wao walibaki upande wa pili ambao ni congo 🇨🇩 mkuu.
 
Hili shambulio lilikuwa limuondoe na Makenga mwenyewe, sema kapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…