Msema kweli.

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,747
1,385
Mimi nimemsikiliza sana mwanasheria Tundu lisu kwa suala la mchanga uliokamatwa kwenye makontena .
Pia nimemsikiliza Rais na tume Yake aliyoiunda hatua kwa hatua.
Naomba mnisaidie kisheria nani msema ukweli without biases . pia athari na faida ya kuzuia ule mchanga na nini kifanyike kwa madini tuliyonayo kwa kizazi kijacho.
Sitaki mapovu
 
Back
Top Bottom