Msekwa ataka Kikwete aondoke CCM na muundo wake

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,224
1,676
Siku moja baada ya CCM kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amesema kuna haja ya kufanya ndani ya chama hicho hasa muundo wa halmashauri kuu ya taifa. Amtaka afanye mabadiliko kabla ya kumpa kijiti Rais Magufuli.
 
Attachments

  • IMG_20160208_040845.jpg
    IMG_20160208_040845.jpg
    281.2 KB · Views: 79
  • IMG_20160208_041016.jpg
    IMG_20160208_041016.jpg
    417.1 KB · Views: 38
Hiki chama kimeshakuwa screpa kama ni gari imeshachomewa na kuungwaungwa Sana ishapigwa rangi Sana ishafanyiwa overhaul Sana sasa ni muda wa kuuzwa chuma chakavu ili pesa kidogo itakayopatikana tuongezee tununue gari jipya
Manake kwa ukongwe wake naona ishamaliza mafundi wote haifai tena kwa matumizi ya binadamu
 
CCM ina udhaifu wake, sawa. Lakini ambacho huwa kinashangaza na kusikitisha ni namna wana-UKAWA wanavyokazania kueleza ubovu na udhaifu wa CCM na kuacha kueleza ubovu wa vyama vya upinzani na hasa CHADEMA na CUF achilia mbali vyama vingine vya siasa ambavyo muundo wake ni wa kifamilia na mifukoni. Ni ubovu wa muundo wa chama kama CHADEMA na CUF ndio unaochangia kufifisha demokrasia nchini mwetu. Lakini wana-CHADEMA na wana_UKAWA wenzao wamekazana kuchangia kutoa hoja kuhusu ubovu wa CCM. Hivi CHADEMA kina nini hasa cha kujivunia kuhusu muundo wake? Ni nani anafahamu matumizi ya fedha ndani ya CHADEMA yakkoje? N I utaratibu gani unaotumika kuwapata wabunge wa viti maalum ndani ya CHADEMA na CUF?...
 
Huyu msekwa nae ni jipu!!
Ye anaona kibanzi kwny jicho la JK wakati boriti la jichon kalimezea....

Hata yeye wakati wake chama kilikua na madhaifu na ni huyu huyu msekwa aliyekua akilalamikiwa kwa kuminya demokrasia alipokua spika wa bunge......

Kupitia utawala wa JK kuna mengi kayafanya mazur tu ndani ya chama lakini hayasemi.....

Yaaaan huyu nae ni hooooovyo kabisa
 
Msekwa yupo sahihi

kikwete akaepembeni kabisa ili maguful awe na maamuzi yake kiutawala nasafu yake kwa 100%.

kwasasa kikwete anaweza kumhujum au kuchelewesha mambo ya maguful maana anafunikwa.
 
Siku moja baada ya CCM kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amesema kuna haja ya kufanya ndani ya chama hicho hasa muundo wa halmashauri kuu ya taifa. Amtaka afanye mabadiliko kabla ya kumpa kijiti Rais Magufuli.

Utaratibu wa kuachiana madaraka kati ya mwenyekiti na Raisi kila mara baada ya uchaguzi mkuu si jambo la kikatiba ni makubaliano tu ambayo chama kilijiwekea ili kuepusha migongano ya kiutendaji kati ya Chama na Serikali. Nahisi si lazima mwenyekiti wa Chama kumwachia raisi nafasi hiyo kwa sababu katiba haibani. Kama utaratibu wa kikatiba ndio huo, tuache kuweka mashinikizo, tuache waamue wenyewe, Inawezekana Raisi aliyeko madarakani akawa hataki utaratibu huu,au mwenyekiti aliyeko madarakani anataka kumalizia muda wake.
 
political parties ranking by its power, mode of operation, and age,
1. CHINA COMMUNIST PARTY
2. CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
3. ANC
 
Jk anataka kuweka maslahi yake mbele tu kabla hajaachia ngazi... setikalini kashindwa, ila CHAMANI NAONA anakomaa.. ila Magufuli na JK, naona kama paka na mbwa siku zinavyozidi kwenda...
 
Jk si alisema ataenda msoga lkn bado anangangania uongozi!
Akae bench I tu
 
Nani yuko sahihi.....yule akiyesema wakati naondoka niliacha fedha za kutosha hazina..au yule aliyesema sikukuta fedha hazina hata za kulipa mishahara.
 
Hiki chama kimeshakuwa screpa kama ni gari imeshachomewa na kuungwaungwa Sana ishapigwa rangi Sana ishafanyiwa overhaul Sana sasa ni muda wa kuuzwa chuma chakavu ili pesa kidogo itakayopatikana tuongezee tununue gari jipya
Manake kwa ukongwe wake naona ishamaliza mafundi wote haifai tena kwa matumizi ya binadamu

Kuna mkongwe mmoja alisema chama kilichopo ni cha Baba, bwanamdogo, Mama na Mtoto
 
Nani yuko sahihi.....yule akiyesema wakati naondoka niliacha fedha za kutosha hazina..au yule aliyesema sikukuta fedha hazina hata za kulipa mishahara.

Hapa ndipo umuhim wa mkwere kukaa kando unapokuja.

Anavuchafua na kumharibian Pombe , mkwere na sifa daaaa hata uongo atasema iliasifuwe aliongoza vema
 
Back
Top Bottom