Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,056
Hujasema umesoma degree gani usije kuta ni ngwini wa sosholoji alafu unataka kutupotezea muda hapa.Msaada ndugu zangu.
Nataka mwaka huu nikajiendeleze na masters degree.
Target yangu nikusoma moja kati ya hizo kozi tajwa hapo juu. Najua humu kuna watu wanaufahamu mpana juu ya hayo mambo. Naombeni ushauri nielekee upande gani kati ya hizo kozi mbili
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Shukran sana ndugu.Hujasema umesoma degree gani usije kuta ni ngwini wa sosholoji alafu unataka kutupotezea muda hapa.
Anyway, Kwa swala la kujiajiri ningeenda na data science ambayo ukiiweza vizuri utafanya kazi hata za freelance. Ila kama umeajiriwa au uko chuoni na unaweza endelea na hiyo ya modeling ili uwe lecturer..(sina hakika sana ila hii inaweza kuwa issue kujiajiri may be inawezekana ila haitakua na chance kubwa kama data science)
Hujasema umesoma degree gani usije kuta ni ngwini wa sosholoji alafu unataka kutupotezea muda hapa.
Anyway, Kwa swala la kujiajiri ningeenda na data science ambayo ukiiweza vizuri utafanya kazi hata za freelance. Ila kama umeajiriwa au uko chuoni na unaweza endelea na hiyo ya modeling ili uwe lecturer..(sina hakika sana ila hii inaweza kuwa issue kujiajiri may be inawezekana ila haitakua na chance kubwa kama data science)
wabongo mmekariri sana maisha,aliekwambia kwamba sociologist hawezi kusoma data science ni nani??? ma vyuo yenu ya hovyo hovyo yamewafanya kuwa na upeo mdg sana!
haiwezekani kwenye hayo ma vyuo yenu ya hovyo,nje ni very possible, data science inamatch vizuri tu na kozi za social science!Hujasema umesoma degree gani usije kuta ni ngwini wa sosholoji alafu unataka kutupotezea muda hapa.
Anyway, Kwa swala la kujiajiri ningeenda na data science ambayo ukiiweza vizuri utafanya kazi hata za freelance. Ila kama umeajiriwa au uko chuoni na unaweza endelea na hiyo ya modeling ili uwe lecturer..(sina hakika sana ila hii inaweza kuwa issue kujiajiri may be inawezekana ila haitakua na chance kubwa kama data science)
Punguza ujinga na socialogy yako hiyo.wabongo mmekariri sana maisha,aliekwambia kwamba sociologist hawezi kusoma data science ni nani??? ma vyuo yenu ya hovyo hovyo yamewafanya kuwa na upeo mdg sana!
Ningekushauri usome data science. Data science ina future nzuri sana maana kwa sasa na siku zijazo dunia itakumbua na "massive creation of data" Hivyo data managers watahitajika kwa kiasi kikubwa. Unaweza kuwa data analyst katika field tofauti tofauti kama afya, projects mbali mbal, viwanda etc. Kwa hapa kwetu data science haina watu wengi nadhani kwa Master's ni udsm pekee, hivyo baada ya kuhitimu utakuwa na nafasi kubwa ya kunufaika na opportunities nyingiMsaada ndugu zangu.
Nataka mwaka huu nikajiendeleze na masters degree.
Target yangu nikusoma moja kati ya hizo kozi tajwa hapo juu. Najua humu kuna watu wanaufahamu mpana juu ya hayo mambo. Naombeni ushauri nielekee upande gani kati ya hizo kozi mbili
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ushauri mzuri ndugu nitaufanyia kaziNingekushauri usome data science. Data science ina future nzuri sana maana kwa sasa na siku zijazo dunia itakumbua na "massive creation of data" Hivyo data managers watahitajika kwa kiasi kikubwa. Unaweza kuwa data analyst katika field tofauti tofauti kama afya, projects mbali mbal, viwanda etc. Kwa hapa kwetu data science haina watu wengi nadhani kwa Master's ni udsm pekee, hivyo baada ya kuhitimu utakuwa na nafasi kubwa ya kunufaika na opportunities nyingi
mjinga ni ww ndo maana umekuja kuuliza,ungekua unajua usingekuja kuuliza hapa ,fala ww.
mjinga ni ww ndo maana umekuja kuuliza,ungekua unajua usingekuja kuuliza hapa ,fala ww.
fala ww huna unachojua.
Wewe ndio kubwa jinga, hasira mpelekee aliekwambia ukimbie hesabu.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hiloo kubwa jinga . Unataka usome mathematical modelling huku advance umesoma hklfala ww huna unachojua.
Bc compuiter science,engineeringvigezo vya izo masters ni vp