thaddeus Member Joined Jun 22, 2013 Posts 15 Reaction score 3 Aug 30, 2016 #1 Naomba msaada wenu wadau katika kujua Programme sahihi zaidi katika vyuo vya Tanzania na uringo wa vyuo vya Africa Mashiriki lakini zaidi soko la ajira kwa Eastern Africa Zone.
Naomba msaada wenu wadau katika kujua Programme sahihi zaidi katika vyuo vya Tanzania na uringo wa vyuo vya Africa Mashiriki lakini zaidi soko la ajira kwa Eastern Africa Zone.
agristeph JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 214 Reaction score 184 Aug 30, 2016 #2 650,000/= mshahara! Bado makato Huo muda tafuta kitu kingine cha kufanya