huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,540
- 1,475
Mwenzake alipewa mil 9 kwenye harusi kwa ajili ya kununulia noah ya kusambazia chilli sauce..sasa vp wanashindwa kumsaidia huyu mgonjwaHabari wanajamvi.....
Hili post/thread halihusiani na siasa........
Jana nilimwona wastara wakati anahojiwa na Vijana wa shilawadu (Kwisa na Soudy Brown) kiukweli huyu dada n mgonjwa na anahitaji Msaada ili akatibiwe....
Huyu dada anahitaji Mil 19 ili awze kupata matibabu nje ya nchi,huyu dada asaidiwe kwa namna yeyote ile,anapata maumivu makubwa sana kiukweli anahitaji msaada........
Lakini nilikuwa najiuliza hivi wasanii mil 19 imewashinda???? kweli ???
Wameshindwa kumchangia mwenzao apate matibabu??
Hivi wasanii si ndo kioo cha jamii,hiv sisi wananchi wa kawaida tunajifunza nn kutoka kwao???
Kweli hujafa hujaumbika
Huyu dada anapata maumivu makali asaidiwe.....
Hivi huyu si aliolewa na Mbunge,hiv yule Ameshindwa hata kutoa mil 10????
Kweli????
Its very painfull
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Pesa za kumnunua diwani 1 tu ni zaidi ya hizo anazostahili Wastara lakini hana umuhimu kwa sasa kwa chama chetu.
Misanii ya kibongo mipumbavu sana, kwenye masherehe ya Birthday, Harusi n.k utaiona inajifanya ina uwezo mkubwa mno kwa kufuru ya pesa, lakini yanapokuja mambo serious issue kama matatizo ya Wastara huwezi kuyaona yakisema kitu yameathiriwa na siasa za ccm.......hovyo kabisa haya majitujana nilikuwa nasafisha macho huko youtube nikakutana na videoya harusi ya msanii wa bongo na wasanii wengi walionyesha jeuri ya pesa sasa inatakiwa wasiishie tu kwenye sherehe wajitahidi pia kusaidiana kwenye matatizo itakuwa ni kichekesho leo msanii anaumwa wenzake wanajifanya hawaoni lakini akisha dondoka ndio watajifanya kuchangia michango mikubwa
Leo Asha Baraka meneja wa bendi ya Twanga pepeta anasema wasanii wote waende kwenye kampeni za Mtulia wa kinondoni. Ampigie simu amwambie na amkumbushe kampeni za 2015 kwamba alikata kiuno mpaka mguu ukashitukaMisanii ya kibongo mipumbavu sana, kwenye masherehe ya Birthday, Harusi n.k utaiona inajifanya ina uwezo mkubwa mno kwa kufuru ya pesa, lakini yanapokuja mambo serious issue kama matatizo ya Wastara huwezi kuyaona yakisema kitu yameathiriwa na siasa za ccm.......hovyo kabisa haya majitu
Haya majitu hovyo sana ndg yangu hadi aibuLeo Asha Baraka meneja wa bendi ya Twanga pepeta anasema wasanii wote waende kwenye kampeni za Mtulia wa kinondoni. Ampigie simu amwambie na amkumbushe kampeni za 2015 kwamba alikata kiuno mpaka mguu ukashituka
Kila mtu na bahati yakeMwenzake alipewa mil 9 kwenye harusi kwa ajili ya kununulia noah ya kusambazia chilli sauce..sasa vp wanashindwa kumsaidia huyu mgonjwa
Walikuwa wanasema wataisoma namba. Wanashindwaje? Kumsaidia msanii na mwanachama kindakindaki wa CCM. APA mchuma janga ula na nduguye, kipindi kile wameshaandaaa maji ya washawasha na virungu vya kuwapasua vijana.Leo Asha Baraka meneja wa bendi ya Twanga pepeta anasema wasanii wote waende kwenye kampeni za Mtulia wa kinondoni. Ampigie simu amwambie na amkumbushe kampeni za 2015 kwamba alikata kiuno mpaka mguu ukashituka