Msanii wa Katuni hii alikusudia nini?

Huyu jamaa leo tulikuwa nae huku kwenye ziara ya M/rais kinampanda ttc. Analamba kinyira tu kama hana akili nzuri vile.
Wanasiasa ni watu wa aina tofauti na kariba za binadamu wengine.
Anadunda tu wala hana maumivu at all
 
Huyo jamaa si ndiyo miezi michache ya nyuma, wizara yake ilizuia wananchi wasivae T/Shirt zilizoandikwa PRAY FOR LISSU??

Sasa zamu yake........

Ndiyo sababu imemfanya cartoonist amwombee huyo Punda kupona haraka, kuliko kumwombea huyo jamaa a-get well soon!

Imenenwa kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU!
 
Tofautisha anayekubebea mzigo na anayekubebesha mzigo.

Huyu akipona anaenda kutunga sheria za kukubebesha mzigo, anaenda kupora kodi uliyochangia kwa jasho na damu, anaenda kuunga mkono vikokotoo ili uwahi kufa utakapostaafu nk.

Huyu mwingine akipona angalau atakubebea mizigo yako, atabeba maji kutoka mbali ili kutuliza kiu yako, atakubeba hata wewe mwenyewe ukichoka kwa mwendo mrefu.

Ni nani anastahili kupewa "GET WELL SOON"?
 
Wakati wa Maandamano ya Mange alidai hata ukizunguka kitanda chako chumbani utahesabika kama umeandamana na utakamatwa na kushughulikiwa
 
Unamaana jamaa wote wa mjengoni
 
Bora Ya punda wetu bana.... Yy akiwa waziri alikataa watanzania wasimwombee lissu.
Mbaya zaidi akapiga marufuku kuvaa ata tsheti za PRAY FOR LISSU
isitoshe watu walikua wanatekwa yy anasema wanajiteka..
Watu wanashikiwa bastola mchana kweupe mbele Ya rpc yy anasema sio askari..

Get well soon PUNDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…