Bora yao ulitaka wachomoe mimba.........? kuwa na mtoto haimzuii MTU kuolewa tena kama huyo mwanamke anajielewa labda kwa wasiojielewa na hao watoto wanaachiwa na nyie vidume ...acha kuwakejeli masingle moms kwani wamekubali kubeba aibu .......binafsi nawaona single moms mashujaa kwani hawa kufanya uamzi wa kutoa mimba na wamekubali makosa yao na kuamua kuwa responsible